CHADEMA ni chama chenye watu wenye hoja. Ndiyo maana CCM baada ya kushindwa wanateka na kuua!
CHADEMA ni akili kubwa sana! In fact ni above next level.. Haiwezi kufa Leo wala keshoKama Watanzania wapenda mabadiliko watakubali Chadema ife badi nitajuwa kiwango cha ujinga na ueleqa mdogo kipo juu.
Mambo ccm inayowafanyia watanzania kama ingekuwa Kenya, ccm wote na serikali yao wangekuwa wameisha kimbia nchi. Yaani mahosipitalini hakuna dawa, sheleni hakuna walimu wala vitabu halafu mijitu inatumia kodi za wananchi kutengeneza vyama vya siasa fake, na kununuwa pikipiki na magari ya kijani. Halafu magari hayo yanatembea mitaani watanzania hata kuyawasha na kibiliti wanashindwa. Hivi na katuloga?
Mkuu naskia Madeleka amehamia ACT kwa mkakati maalumu. Ni kweli?
Hii Thread inatakiwa iwe laminated na itunzwe Kwenye Frame 🖼️ na makumbusho yote au Billboard za matangazo. RESPECT BRO.Kazi mliyotumwa ya kuifubaza CUF mliifanya kwa weledi mkubwa sana kiasi kwamba kwasasa CUF si lolote si chochote mbele ya siasa za Tanganyika nachelea kusema na visiwani pia..!
Vema msijisahau kwamba ile ilikuwa ni kandarasi na mlilipwa.. Ilikuwa ni biashara japo ya kificho kwakuwa haikuwa na stakabadhi za malipo! Na kwa namna fulani mliinyima mamlaka ya mapato, mapato yake stahiki..
Kandarasi ikiisha kambi inafungwa.. Wahusika wanatawanyika.. Sasa tawanyikeni.. Kandarasi mpya si yenyu tena! Zali limemwangukia CHAUMIA
CHAUMIA ndio habari ya mjini kwasasa .. Kwenye kandarasi ya kuifubaza CHADEMA.. sijui watafanikiwa kwa kiasi gani lakini nijuavyo kwa hakika CHADEMA sio CUF
Nimeona mahali ACT wameanza kulia...someni alama za nyakati.. Kama macho hayaoni.. Basi masikio yenu yasikie
UongoKama huna matusi basi hujawa kada wa Chadema . KAZI YAO MATUSI. Wanapigania Demokrasia lakini hawajui Demokrasia . Kwao mtu yeyote ambae sio Chadema atapewa majina yote mabaya .
Wasichojua CHADEMA haiwezi Kuwa CUF... it is deep rooted....✌🏿💪🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿📌🔨
Zee toa kabwela na lee poo mbavu akili zao sawa kabisaCHAUMIA ndio habari ya mjini kwasasa .. Kwenye kandarasi ya kuifubaza CHADEMA.. sijui watafanikiwa kwa kiasi gani lakini nijuavyo kwa hakika CHADEMA sio CUF
Nimeona mahali ACT wameanza kulia...someni alama za nyakati.. Kama macho hayaoni.. Basi masikio yenu yasikie
Pole sanaKatika makosa ambayo Maalim(RIP) alifanya ni kuhamia ACT. Au pengine siyo makosa bali alijua anachokifanya kwa sababu hata kuingia kwenye serikali ya kupewa slesi ya mkate haijakaa sawa. Huwezi kushiriki kwenye serikali halafu hapo hapo ukajiita ni mpinzani wa hiyo serikali.
Chadema will never die niamini mimichadema wana tabia mbovu sana
wana tabia ya excuses
yaani their own weaknesses badala wajilaumu wenyewe kwa kua na akili ndogo na kufanya makosa yanayowa cost hua wanaishia kulalamikia watu wasiohusika
wao hawafanyagi kosa,hapana,it is always others
CUf did blunders,act wakafaidika
chadema is doing blunders wanaofaidika ni chaumma na act na maccm
chadema sasa wanachofanya now,malalamiko,wao hawana kosa,hapana ,ni wengine ndio wana makosa
kama juzi wanamlalamikia mbowe
juzi kati wanailalamikia ccm
leo wanailalamikia aCT
mpaka mwisho wa siku chadema inayeyuka watamlalamikia sijui nani
yaani chadema ni mataahira,ccm,act,chaumma ni competitors wenu,na kazi zao ni kuiua chadema kama chadema inavyotaka kuwaua wao
chadema inadhani chaumma au act au ccm ipo hapa kuwa-treat vizuri na kuwaabudu sijui blah blah,wapo hapa kuua competitors,ndio maana ya competition
you motherfvckers will never learn!
Uchaguzi nani kaususia? Uchaguzi hautafanyika abadan nakuambia.Si mlishasusia uchaguzi mkuu, mnataka huruma ya nini? Tuliwaonya kuhusu kumfurusha Mbowe.
jamaa wana propaganda za ******* sana yaaniACT sijui kiliwakosea nini kile chama.
Kweli hata wewe unaandika propaganda ya bei rahisi hivi.
Eti kazi mliyopewa ya kuiua CUF mbona umeandika uongo wa wazi.
Au katika ushabiki wa siasa mtu akiwa chama fulani basi.anajitoa akili ili tu aonekane nae ni mpingaji.
Tujifunze siasa za hoja na kuiishi demokrasia tunayoitaka.
Hivi ndugu zangu wanaChadema kwanini mnakuwa na unafiki sana na kuwa hamuiishi demokrasia.
Mtu akiwa upande wenu mtamuita kila jina zuri kamanda,mpambanaji,askari,komando n.k ila akiamua tu kujiondoa ndio mnaanza sasa kumpaka mavi.
Mnakuwa kama wale watu wanaoachana na wapenzi wao wanaanza kuyasema mabaya ya mpenzi wake au kumsingizia mabaya mpenzi wake ili aonekane mbaya.
Mfano hawa waliojitoa Chadema wakati huu na kujiunga na Chaumma mlikuwa mnawaimba na kuwapa sifa za kila aina na hata wale waliosema kuwa hawa mnaowaona makamanda sio makamanda ni wachumia tumbo.Mlibisha na hadi wengine mkawatukana leo kiko wapi.
Jifunzeni kuiishi demokrasia katika siasa duniani kote wanasiasa wengi wapo kwa maslahi yao kwanza na waliowaweka hapo ndio sasa atafata maslahi ya wananchi kwa wale wanasiasa wachache.
Kipindi kina Zitto wako bungeni aliwahi kupeleka hoja ya kupunguza mapato ya mbunge.Matokeo yake walioongoza kumpinga ni wapinzani wenzie na wakasema anatafuta sifa.Yaani waliacha kujadili hoja wakaanza kumjadili mleta hoja.
Chadema kama kweli mnazijua siasa acheni kuwajadili kila siku wale walioamua kwenda Chaumma ni haki yao na maamuzi yao tuache muda uamue wenyewe.
Mimi ni miongoni mwa watu ambao nilitamani Lissu awe mwenyekiti wa Chadema ili kuleta siasa za uhalisia nchini.
Ila shida kubwa ya ndugu zangu wanachadema baadhi yenu nyie ndio mnajiona wapinzani pekee hapa Tanzania na wengine vibaraka.Nyie ndio mnajiona mko sahihi kuliko binadamu yeyote hapa Tanzania.
Hapana lazima mbadilike kama namna tunavyotaka CCM wabadilike vinginevyo ni sawa na kutaka kuwatoa afadhali kidogo na kuwaingiza potelea mbali.