The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Pumbavu shenzi, kwahiyo alikuwa CCM akiwa ACT? Ana vyama viwili? Is that allowed by law? sheria ya vyama vya siasa inasemaje kuhusu hilo?Chama cha ACT Wazalendo kimejitokeza na kujibu kauli ya katibu mwenezi wa ACT WAZALENDO Mkoa wa Dar es Salaam, Bi Monalisa Ndala, kuhusu madai ya kujiunga kwa aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, na chama hicho.
Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Bara, Mchinjita, Isihaka Machinjita, amesema Mpina si mgeni ndani ya chama kwani alijiunga nacho muda mrefu uliopita na tayari ni sehemu ya harakati zao. Amesisitiza kuwa chama hicho kipo wazi kwa viongozi na wananchi wote wanaotaka kushirikiana katika kuleta mabadiliko ya kweli nchini.
View attachment 3448687
usipaniki kwani kadi ya CCM ameludisha?Pumbavu shenzi, kwahiyo alikuwa CCM akiwa ACT? Ana vyama viwili? Is that allowed by law? sheria ya vyama vya siasa inasemaje kuhusu hilo?
utapeli mtupuSafi sana. Hii nchi kila mtu TAPELI. Poleni sana waTanzania mtafika mmechoka sana.
#Oktoba#Linda#Kura
#Oktoba#Tunatiki
#NoReforms#NoElection
Muda mrefu kivipi, wapi lini na nani?Chama cha ACT Wazalendo kimejitokeza na kujibu kauli ya katibu mwenezi wa ACT WAZALENDO Mkoa wa Dar es Salaam, Bi Monalisa Ndala, kuhusu madai ya kujiunga kwa aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, na chama hicho.
Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Bara, Mchinjita, Isihaka Machinjita, amesema Mpina si mgeni ndani ya chama kwani alijiunga nacho muda mrefu uliopita na tayari ni sehemu ya harakati zao. Amesisitiza kuwa chama hicho kipo wazi kwa viongozi na wananchi wote wanaotaka kushirikiana katika kuleta mabadiliko ya kweli nchini.
View attachment 3448739