Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, ameweka msimamo mzito kuhusu mchakato wa maridhiano nchini, akisisitiza kuwa chama hicho hakitashiriki katika mazungumzo yoyote ya "ulaghai" yanayolenga kufunika makosa yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Akizungumza kwenye kikao cha viongozi wa chama cha ACT Wazalendo kilichofanyika Januari 8, 2026 Jimbo la Lindi Mjini katika ukumbi wa Gafu, Kata ya Makonde mkoani Lindi, Semu amesema maridhiano ya kweli lazima yasimame kwenye misingi ya haki, uadilifu, na kukiri kwa makosa yaliyofanywa dhidi ya raia.
Kiongozi huyo aliongeza kuwa maridhiano ya dhati yanapaswa kuambatana na mageuzi ya kimuundo katika mifumo ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi ambayo imekuwa chanzo cha migogoro nchini. Amesema kuwa ACT Wazalendo itakuwa mstari wa mbele kudai maridhiano jumuishi yanayoheshimu utu wa kila Mtanzania badala ya kutumika kama chombo cha kuhalalisha dhuluma.
Semu alitumia fursa hiyo kutoa pole kwa wanachama na wakazi wa Lindi waliokumbwa na madhila wakati wa uchaguzi, akihimiza umoja na mshikamano katika kuendelea kupigania haki za raia
Hawakutegemea wananchi wangeweza kuandamana, na wakadhani kwakuwa cdm wamegoma kushiriki wao wangeonewa huruma na ccm. Sasa wamejua kuwa msimamo wa cdm ndio ulikuwa wa wananchi, hivyo na wao sasa hivi inabidi wafuate msimamo wa cdm, kwani ndio yenye imani ya umma.mhh sasa mpaka ACT hawataki maridhiano, Itabidi CCM waridhiane na Jeshi tu kama kawaida yao
Wamejua walicheza nje ya bit za wananchi.Walivokimbiliaga uchaguzi walikua hawajui kuwa haya hayatatokea wanajifanya wanajali kwasasa kumbe hamna kitu
wangepata wabunge wa2-3 usingesikia hii kitu. Walikua na ndoto ya kuwa chama kikuu cha upinzani, sasa wameona uelekeo ni kule vilipo vyama vya ccmBMbona ni kama CHADEMA tu, kwa nini hawakuungana tangu mwanzo kuukataa ule uchaguzi, si wangefanikiwa pakubwa kuleta mageuzi? ACT hawana msimamo
ACT walishindwaje kujua wananchi wanataka nini? Wenzao CHADEMA wanajua kusoma nyakati, wanaelewa wananchi wanataka nini na wanacheza na biti la wananchi bampa tubampa.wangepata wabunge wa2-3 usingesikia hii kitu. Ealikua na ndoto ya kuwa chama kikuu cha upinzani, sasa wameona uelekeo ni kule vilipo vyama vya ccmB
Mazungumzo yanajadili AMANI bila hakiKiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, ameweka msimamo mzito kuhusu mchakato wa maridhiano nchini, akisisitiza kuwa chama hicho hakitashiriki katika mazungumzo yoyote ya "ulaghai" yanayolenga kufunika makosa yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Akizungumza kwenye kikao cha viongozi wa chama cha ACT Wazalendo kilichofanyika Januari 8, 2026 Jimbo la Lindi Mjini katika ukumbi wa Gafu, Kata ya Makonde mkoani Lindi, Semu amesema maridhiano ya kweli lazima yasimame kwenye misingi ya haki, uadilifu, na kukiri kwa makosa yaliyofanywa dhidi ya raia.
Kiongozi huyo aliongeza kuwa maridhiano ya dhati yanapaswa kuambatana na mageuzi ya kimuundo katika mifumo ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi ambayo imekuwa chanzo cha migogoro nchini. Amesema kuwa ACT Wazalendo itakuwa mstari wa mbele kudai maridhiano jumuishi yanayoheshimu utu wa kila Mtanzania badala ya kutumika kama chombo cha kuhalalisha dhuluma.
Semu alitumia fursa hiyo kutoa pole kwa wanachama na wakazi wa Lindi waliokumbwa na madhila wakati wa uchaguzi, akihimiza umoja na mshikamano katika kuendelea kupigania haki za raia
tunaweza kubishana sku nzima kuhusu ccm na chadema, ila ukitaka kujua wananchi wanahisia gan kuhusu chadema nenda kaangalie kwa kiongozi yoyote akipost kule X comments za wananchi zikojeHawakutegemea wananchi wangeweza kuandamana, na wakadhani kwakuwa cdm wamegoma kushiriki wao wangeonewa huruma na ccm. Sasa wamejua kuwa msimamo wa cdm ndio ulikuwa wa wananchi, hivyo na wao sasa hivi inabidi wafuate msimamo wa cdm, kwani ndio yenye imani ya umma.
Ile voters turn out imewatisha, hawakujua kuwa wao pamoja na ccm hawana ushawishi wa umma kiasi kile. Hivyo ili wasipoteze kabisa kwenye umma, inabid kucheza bit za cdm.
Tlaatlaah ERTUGRUL BEY HAYA LAND HOV stakehigh
Itakuwa Zitto anakupelekeaga moto *****, kwani hakuachiagi ya matumizi mpaka unamuonea wivu mke mwenzaANA UHAKIKA ANACHO KINENA? ZITTO KABWE ANASEMAJE KATIKA HILO?
Bila shaka hakumbuki kuwa vyeo vya uteuzi katika nafasi mbalimbali bado vipo; hasa kwenye balozi na mahali kwingineko' kama ukuu wa mkoa au wilaya.ANA UHAKIKA ANACHO KINENA? ZITTO KABWE ANASEMAJE KATIKA HILO?
Huu ndio ujuha.tunaweza kubishana sku nzima kuhusu ccm na chadema, ila ukitaka kujua wananchi wanahisia gan kuhusu chadema nenda kaangalie kwa kiongozi yoyote akipost kule X comments za wananchi zikoje
Hoa wanaccm mmewaingiza na id kumi kumi mnadhani hatujui hali hiyo? Uhalisia ulikuwa juzi kwenye uchaguzi, ile voters turn out iliongea kila kitu. Huko X hao uvccm hadi wamekuwa kama wajinga, wanaleta habari za kutunga kuwa viongozi wa RC na cdm wana watoto wa nje. Wote wanaigana kuhusu uzushi mnaowapa! Kama wana content kwanini kila mmija asiwe na mawazo yake, badala ya kurudia kitu hicho hicho cha mwenzake?tunaweza kubishana sku nzima kuhusu ccm na chadema, ila ukitaka kujua wananchi wanahisia gan kuhusu chadema nenda kaangalie kwa kiongozi yoyote akipost kule X comments za wananchi zikoje
Itakuwa Zitto anakupelekeaga moto *****, kwani hakuachiagi ya matumizi mpaka unamuonea wivu mke mwenza
tunaweza kubishana sku nzima kuhusu ccm na chadema, ila ukitaka kujua wananchi wanahisia gan kuhusu chadema nenda kaangalie kwa kiongozi yoyote akipost kule X comments za wananchi zikoje
Zitto kabwe ni muislamu na muislamu siku zote ni ndugu wa upumbavuANA UHAKIKA ANACHO KINENA? ZITTO KABWE ANASEMAJE KATIKA HILO?