nkuwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 4,806
- 5,347
Naomba kuuliza kwenye huu uandikishaji wa daftari la wapiga kura ACT Wazalendo mbona hawaonekani kabisa? Naona vita kubwa kati ya CHADEMA na CCM tuu?
Nimetembelea mikoa ya Geita, Kagera, Mwanza, Shinyanga, kwenye vituo vya uandikishaji vyote nimekutana na mawakala wa CCM na CHADEMA pekee.
Je, au nikiwaona mawakala wa CCM ndio hao hao wa ACT_WAZALENDO?
Rafu zinazochezwa na CCM mbona ACT Wazalendo hawasikiki wakikemea na kupambana na hawa CCM?
Thread tayari.