Mbona wana ofisi Kijitonyama huko wanakofanyaga press conference kila mara.Leo nimekutana na mwajiriwa na taasisi ya Banki Kuu ya Tanzania akiwa amechanganyikiwa. Kilicho mchanganya ni kitu cha ajabu sana. Aliniambia kesho 13.06.2021 wana ufunguzi wa jengo lao jipya jijini Mwanza. Kwa vile Banki Kuu ya Tanzania ni ya watanzania wote bila kujali tofauti zao- alikuwa anasambaza mialiko kwa wadau mbalimbali. Kwa bahati mbaya amehangaika mda mrefu haoini ofisi ya ACT-Wazalendo. Tumeulizana tuliomsikia hakuna aliyeweza kumpa jibu. Tukapewa namba za simu za katibu mkuu wao wa taifa- hazifikiki.
Hivi kumbe vyama vingine hivi viko kwa mitandao tu-kwenye twitter na facebook
Mkuu hapa Mwanza Kijitonyama iko kata gani? Na wewe utakuwa yale yaleMbona wana ofisi Kijitonyama huko wanakofanyaga press conference kila mara.
Sasa kama wako mtandaoni kwanini hakuwatafuta huko mtandaoni.
Ila nchi hii ina watumishi vilazaaa. Imagine mtu wa BoT hajui wapi atapata mwanasiasa.
Au ungeulizia polisi, ofisi zote za wanasiasa wanazijua.
Ofisi zao zinajulikana ikifikia muda wa uchaguzi mkuu.Leo nimekutana na mwajiriwa na taasisi ya Banki Kuu ya Tanzania akiwa amechanganyikiwa. Kilicho mchanganya ni kitu cha ajabu sana. Aliniambia kesho 13.06.2021 wana ufunguzi wa jengo lao jipya jijini Mwanza. Kwa vile Banki Kuu ya Tanzania ni ya watanzania wote bila kujali tofauti zao- alikuwa anasambaza mialiko kwa wadau mbalimbali. Kwa bahati mbaya amehangaika mda mrefu haoini ofisi ya ACT-Wazalendo. Tumeulizana tuliomsikia hakuna aliyeweza kumpa jibu. Tukapewa namba za simu za katibu mkuu wao wa taifa- hazifikiki.
Hivi kumbe vyama vingine hivi viko kwa mitandao tu-kwenye twitter na facebook
Hukusema shughuli zote ni Mwanza.Mkuu hapa Mwanza Kijitonyama iko kata gani? Na wewe utakuwa yale yale