ACT Wazalendo na Sekretarieti yake hawajui walifanyalo

ACT Wazalendo na Sekretarieti yake hawajui walifanyalo

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
ACT wanaishi katika mkumbo mkubwa sana na wala hawatafika popote kwa maana hawana dila za mbele badala yake wanaangalia nyuma.

Kitendo cha ACT Wazalendo kumruhusu kiongozi wake kupambana na marehemu kwenye ziara zake za mikoa minne kwa kisingizio cha kuing'oa CCM hakiwezi kufanikiwa.

Hakuna cha maana ACT wanakisema zaidi ya kufarijiana wao kwa wao huku wakionekana wachumia tumbo wanao lambishwa asali na CCM ya akina January kupambana na marehemu kisa legacy.

Kiufupi, legacy ya JPM inawatesa sana wanaotaka madaraka, vuwango vyao vina pwaya sana kwenye uongozi na legacy ya marehemu.

Kwa maana hiyo ACT-Zitto wamekubali kutumika ili kuharibu legacy na hivyo yeye kama Zitto hana cha kupoteza maana kama ni mkwanja anavuta wa maana.

Iwapo secretariate ya ACT inataka isonge mbele basi haina budi kumshauri/kumkanya Zitto aache kupambana na marehemu badala yake apambane na changamoto za Watanzania.

Zitto is corrupt.
 
Legacy kama legacy kwisha habari yake.
 
Back
Top Bottom