Sawa chambuzi la mchongo wamekusikiaACT Wazalendo ni chama sindikizi. Hiki chama hakitaweza kuongoza dola kwasababu kinategemea dola hiyo hiyo na viongozi wa chama nao maisha yao wanategemea dola. Hawataweza kudai vizuri mabadiliko kwasababu kwa naomna nyingine wanategemea pesa kutoka kwa hao hao watu wa mfumo. Lakini ni chama chenye usultani mwingi na wanapenda kujitanua huyu yule makamu wa zanzibar hawezi kukaa jela hata siku moja ni walaini walaini sana. Kinacho fanya ACT wazalndo kutokufanikiwa ni Wanzanzibari waliopo kwenye chama hicho. Ndiyo maana hata siku moja hawataweza kuwa kama Chadema kwenye mioyo ya watu
Yaani wanapigania nafasi ya pili!!!
Na Mbowe tukaambiwa ni mpinzani pekee asiyenunulika, leo tunaambiwa ni mamluki wa Abdul na ccm.2013 ZZK alifukuzwa na FAM, CDM kisa Waraka wake waliotafsiri unania ya kumpindua FAM...2015 CDM wakampokea Lowasa kutoka kwa CCM na kumtunuku Kiti cha kugombea Urais
Na Mbowe tukaambiwa ni mpinzani pekee asiyenunulika, leo tunaambiwa ni mamluki wa Abdul na ccm.
Labda.Tatizo la mbowe sio pesa ni kupenda na kuamini ni lazima awe yeye ni kama kikwete anataka kuwa kwenye stage kila siku