johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Swali moja kuntu: Kwanini mnaogpa tume huru ya uchguzi? Kama mnapendwa na watanzania, kwanini mnakataa kuweka tume huru ya uchaguzi?Zitto Kabwe amesema wanaoibeza ACT wazalendo kushiriki uchaguzi mdogo Kigoma ni Washamba.
Mimi nadhani Zitto Kabwe ndio mshamba kwa sababu anadhani ACT wazalendo ya Zanzibar ndio hii ya Tanganyika.
Chadema ni bora zaidi mara 10 kuliko ACT wazalendo kwa siasa za Tanganyika.
Zitto Kabwe ana kawaida ya kuwaita wenzake ni Washamba wakati yeye mwenyewe ni " bonge la mshamba"
Aliponunua ile Hammer ilibidi amuombe Freeman Mbowe amfundishe namna ya kuendesha magari ya thamani hapa mjini, sasa huo ujanja anautoa wapi?
Marudio: Simba 5 Kaizer Chiefs 0
Kwani iliyopo siyo huru?Swali moja kuntu: Kwanini mnaogpa tume huru ya uchguzi? Kama mnapendwa na watanzania, kwanini mnakataa kuweka tume huru ya uchaguzi?
Dunia ya wastaarabu tume za uchguzi zinakuwa huru, nyinyi mnaogopa nini kama mnapendwa na watanzania?
Kumbe kicha chako maji ya maharage!Kwani iliyopo siyo huru?
Mbona Chadema ina wabunge 20?!!
Hujajibu swali!Kumbe kicha chako maji ya maharage!
kuna vitu vingine usijibu maana ni kupoteza mudaHujajibu swali!
Hahahaaaa......!kuna vitu vingine usijibu maana ni kupoteza muda
ukiona mtu anataka mbishane kuwa 1+1=3 kati natural mathematics, huyo achana nayeHahahaaaa......!
Sasa kama ni kupoteza muda kwa nini ulichangia kwenye mada yake??!!kuna vitu vingine usijibu maana ni kupoteza muda