ACT Wazalendo: Serikali imuachie huru Mwenyekiti wa Chama cha Walimu Wasio na Ajira, Joseph Kaheza

Isijekuwa tayari wameshamuua, hawa watu ni hayawani kabisa.
 
Sasa hivi Tanzania Kila mtu anatoa tamko, Kila mtu anaitaka serikali ifanye hivi, ifanye vile yaani acha kabisa
 
Simbachawene si alimwita huyu kijana imekuwaje sasa akamatwe kabla hajafika?
 
Hahahaha hii nchi bhaana ni changamoto sanaa asa kosa lake liko wapi...
#TANZANIA NCHI YANGU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…