Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hatuna chakusema kwakweli tukishamaliza kula ubwabwa tunapanda helicopter wale twaruka....😅Chauma nao wanasemaje?
Chauma nao wanasemaje?
Wanataka gwajima asimame kama mgombea urais kupitia ACT hao hawana mtu wa kumsimamisha akauzika kwa sasa..Chama cha ACT Wazalendo leo Juni 03, 2025 kimeitaka Serikali ya Tanzania kusitisha hatua ya kulifuta Kanisa la Ufufuo na Uzima ambalo linaongozwa na Askofu Josephat Gwajima.
Katika taarifa yao, ACT Wazalendo imesema kuwa kulifungia kanisa hilo kunakiuka haki ya uhuru wa maoni na kukusanyika kuabudu.
ACT imesisitiza kuwa itaendelea kutekeleza wajibu wake kama Chama cha siasa kinachotumikia maslahi ya wananchi kwa kuhakikisha kinapinga vitendo hivi visivyokubalika katika jamii yoyote iliyostaarabika.
Wanataka gwajima asimame kama mgombea urais kupitia ACT hao hawana mtu wa kumsimamisha akauzika kwa sasa..
Naona wanamtafta Bernard membe wa 2025Chama cha ACT Wazalendo leo Juni 03, 2025 kimeitaka Serikali ya Tanzania kusitisha hatua ya kulifuta Kanisa la Ufufuo na Uzima ambalo linaongozwa na Askofu Josephat Gwajima.
Katika taarifa yao, ACT Wazalendo imesema kuwa kulifungia kanisa hilo kunakiuka haki ya uhuru wa maoni na kukusanyika kuabudu.
ACT imesisitiza kuwa itaendelea kutekeleza wajibu wake kama Chama cha siasa kinachotumikia maslahi ya wananchi kwa kuhakikisha kinapinga vitendo hivi visivyokubalika katika jamii yoyote iliyostaarabika.
Safi sana ACT
Wanakusanya wanancji pale uwanja wa furahisha pale mwanza li kupata akidi😁😁😁Chauma nao wanasemaje?
Eendiwo lo Dini isiingiliwe