Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
TAARIFA KUTOKA ACT WAZALENDO
Kwa masikitiko makubwa, tumepokea taarifa ya kukamatwa na Polisi kwa Mwenyekiti wa ACT Wazalendo wa Mkoa wa Songwe leo tarehe 22, November, Ndugu Ezekia Elia Zambi bila sababu za msingi zinazojulikana.
Pia soma: LGE2024 - Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro, Gervas Mgonja, akamatwa na Polisi
ACT Wazalendo Vwawa iliruhusu CHADEMA kutumia ratiba yake kufanya mkutano wa Mwenyekiti Freeman Mbowe lakini polisi wakazuia. Sasa polisi wamemtia nguvuni Mwenyekiti wa Mkoa Ndugu Zambi.
TAARIFA MIKOA MINGINE SOMA
- LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024