Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
๐ฎIkiwa wamekiuka ratiba ambayo tayari jeshi la polisi nchini wanayo, wanastahili kuchukuliwa hatua kama ambavyo polisi wamafanya.
kama kuna makubaliano ya kubadili ratiba kati ya Chadema na ACT wazalendo, bas jeshi la polisi nchini lilipaswa kufahamishwa siku tatu kabla.
Kinyume na hapo ni vurugu na fujo ambazo zinafaa kuchukuliwa kama uhochezi ๐
hatua zitaendelea kuchukuliwa kwa virungu na makwenzi mpaka.akaifi hao watakapostaarabika..๐ฎ
Kwa mujibu wa kifungu gani cha sheria?
Dogo, wacha uzushi, uchawa hapa siyo mahali pake
Mbeya, kilimanjaro, Arusha, na Rukwa hiyo mikoa ni ngome za sapinzani sasa Viongozi kama wakuu wa wilaya wakuu wa mikoa, wabunge wakuu wa POLKSi wote matumbo moto kuhakikisha wanavunja hizo ngome za upinzani mikoa hiyo kila uchaguzi lazima yatokee maafa na mamia ya watu kuwekwa ndani maeneo mengkne ni Zanzibar. Ikifika kipindi cha uchaguzi wowote lazima maafa na mamia kufungwa.CCM inakata Roho mdogo mdogo, Raisi kikwete gwiji wa siasa Z Tanzania alishawaambia CCM, mnapomia POLISI wawajibu wapinzani mnaongeza chuki kwa wananchi, CCM wanatakiwa wajizatiti wenyewe, hivi sasa nikipindi cha Kampeni POLISI kazi yao ni kuzuoa vurugu lakini wao ndiyo wanzilishi wavurugu. CCM haibebeki higo mikoa niliyo itaja pamoja na Zanzibar. Mtawaumiza watu Bure bila sababu, watu wenyewe mmeshawaengua kibao wamebaki 30% na hata hao pia mnawaogopa.MIMI NINA MASWALI KADHAA KWA ACT WAZALENDO NA POLISI:1. ACT mna maana gani kulaani mwenyekiti wenu tena wa mkoa tu kukamatwa wakati wamekamatwa pamoja na viongozi wa CHADEMA tena akiwemo M/Kiti wa taifa (CHADEMA) mtu mzito sana, Mh Freeman Mbowe na wenzake ambaye nyie wenyewe mlimkaribisha kwenye mkutano wenu wa kampeni? Mbona mmemgeuka na kumwitia polisi tena vichakani/porini..????
2. Na je, huyu Mh. Freeman Mbowe na wenzake wa CHADEMA alijumuika nanyi kwenye mkutano wa kampeni zetu kwa utaratibu upi?
3. Waliingilia na kuvamia mkutano wenu au mliwapa mwaliko maalumu...?
4. Kanuni za uchaguzi huu zinasemaje?
5. Je, zinakataza vyama viwili kushea jukwaa moja kupiga kampeni iwapo vimepatana/kukubaliana..?
6. Hawa polisi imekuwaje hata kuwakamata viongozi hawa?
7. Je, ACT WAZALENDO mlivamiwa na CHADEMA na kutoa taarifa polisi kuwa mkutano wenu umeingiliwa na CHADEMA, na huvyo waje ku - intervene ili kulinda amani..?
8. Lakini mbona taarifa zinasema wanewavizia porini tena kwa kuwavamia kama majambazi yavamiavyo raia wema..?
##Kuna nini kati ya Polisi/CCM/ACT Wazalendo vs CHADEMA kwenye hili...???
Ile ni maigizo tu kuhadaa umma.Hata hao CCM B wanafanyuwa figisu kama hizo?
๐ค๐A false flag and planned events in order to deceive the public.
Pole sana mwenyekiti