Pre GE2025 ACT-Wazalendo: Tutatumia mitaa tutakayopewa ridhaa kama mfano wa namna tutakavyoongoza serikali kuu iwapo tutachaguliwa 2025

Pre GE2025 ACT-Wazalendo: Tutatumia mitaa tutakayopewa ridhaa kama mfano wa namna tutakavyoongoza serikali kuu iwapo tutachaguliwa 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
ACT-Wazalendo wamesema watakapopewa nafasi katika mitaa kwenye uchaguzi huu wa serikali za mitaa basi watatumia fursa hiyo kama mfano wa namna watakavyoiongoza serikali kuu mwaka 2025 iwapo watapewa ridhaa.

Ambapo wameainisha mambo kumi watakayoyafanya itakaposhinda mitaa, vijiji, na miji midogo


Screenshot_20241120-195925.png
 
Yaani kama wananchi wakitaka kuiondoa CCM, basi waiweke ACT wazalendo.

Jamaa hawa ni mwendo wa sera tu, wana utulivu mkubwa sana, hawana matusi na maneno machafu.

Ukiwakabidhi nchi, itatulia
 
Back
Top Bottom