Nyakijooga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 524
- 829
Kwenda mbele hawawezi kurudi nyuma pia hawawezi.Chama cha ACT Wazalendo kimetoa taarifa kikilalamikia misukosuko kinayokutana kwenye michakato ya uchaguzi Mkuu 2025 inayoendelea.
"Uchaguzi Mkuu 2025 umekithiri uonevu, mizengwe, na ubabaifu lakini tutaendelea na mapambano." Naibu Mwenezi Taifa
Shangwe Ayo
View attachment 3464953
View attachment 3464954
View attachment 3464956
Msihadaike na haya maigizo baada uchaguzi hamtaongea nao lugha moja. Wakiachiwa majimbo kadhaa
Wao wakashupaza shingo zao, waendelee kuminywa hasa.CHADEMA tulishaona hayo tukaamua kusema No reforms No election
Hawa wakipewa majimbo kadhaa wakawa na presence bungeni wanahalalisha machakato huu. Naamini CCM hawatapora kila kitu, kuepuka kulazimika kutengeneza COVID-19 nyengine.Kiufupi,
Act wanakubaliana na lissu (NR,NE)