GE2025 ACT Wazalendo: Uchaguzi Mkuu 2025 umekithiri uonevu, mizengwe, na ubabaifu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nyie si mabingwa wa kuzuia fitina!!!

Tulieni muone sarakasi hiyo Oktoba 29!
 
ACT Wazalendo ni wanafiq wakubwa! Kama hamtaki uonevu na mizengwe kwanini msiwaunge CHADEMA mkono? Mnathubutu kulalamika kweli! !Wapuuzi nyie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…