Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Tunaendelea kusubiri kuona ni namna gani ACT watalinda kura. Walituambia piga kura, linda kura. Sasa ni kama hata kwenye kura hawatafika.Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo Omar Said Shaaban akifafanua ni kwa namna gani chama hicho kinapinga vikali maamuzi ya Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) kumuengua mgombea wao wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Luhaga Mpina, na hatua wanazochukua
Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo Omar Said Shaaban akifafanua ni kwa namna gani chama hicho kinapinga vikali maamuzi ya Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) kumuengua mgombea wao wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Luhaga Mpina, na hatua wanazochukua
Ccm na act mnajitekenya na kucheka, msitubabaishe sieMwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo Omar Said Shaaban akifafanua ni kwa namna gani chama hicho kinapinga vikali maamuzi ya Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) kumuengua mgombea wao wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Luhaga Mpina, na hatua wanazochukua
Unadhani haya yote hawajayasema?Hivi walishindwa hata kudanganya kuwa Mpina alishajiunga nao toka mwezi wa sita??
Mtu kuwa mwanachama hai wa vyama viwili kwa wakati mmoja ni jinai?
Siyo kusema tu,taarifa kwenye kadi yake ya uanachama isomeke hivyo!!Unadhani haya yote hawajayasema?
Huwezi kuwa mwanachama hai wa vyama zaidi ya kimoja kwa wakati moja. Katiba ya ACT inasema ili uwe na sifa ya kugombea nafasi ya Urais unapaswa kuwa mwanachama wao kwa miezi si chini ya mitatu. Maana yake hapa Mpina alipaswa kuwa ACT tangu tarehe 5 Mei, 2025. Akisema hivo tu anapswa kurudisha kiunua mgongo chetu cha ubunge maana bunge limekuja kuvunjwa rasmi kwa tangazo la Gazeti la Serikali tarehe 3 agosti, 2025 na yeye alikuwa Mbunge kwa dhamana ya CCM.Hivi walishindwa hata kudanganya kuwa Mpina alishajiunga nao toka mwezi wa sita??
Mtu kuwa mwanachama hai wa vyama viwili kwa wakati mmoja ni jinai?
Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo Omar Said Shaaban akifafanua ni kwa namna gani chama hicho kinapinga vikali maamuzi ya Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) kumuengua mgombea wao wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Luhaga Mpina, na hatua wanazochukua