ACT wazalendo waonyesha uzalendo. Wengine wanatakiwa kuiga

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Huu ni mfano wa kuiga maana huu ni msiba wa kitaifa.
===
CHAMA cha ACT- Wazalendo kimewataka wanachama wake kujitokeza kwa wingi siku ya Jumanne Machi 23, 2021 katika Uwanja wa Amaan mjini Unguja, Zanzibar kwa ajili ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli.
 
CHADEMA walitoa taarifa rasmi ya pole, wakasema wanapeperusha bendera nusu mlingoti na jana viongozi wao wa kitaifa waliopo Dar walifika kuaga mwili wa Hayati Magufuli.

Yote kwa yote viongozi wao walirudia kusema hawana kinyongo na wala hawakuwa na visasi na Magufuli.

Kama tuna kumbukumbu sahihi, mara zote CHADEMA walikuwa wakihubiri maridhiano ya kitaifa, mara kadhaa walitaka kukutana na Magufuli lakini Magufuli alikataa kata kata kuwepo na maridhiano nao.
 
Sasa mbona lilesenge linaendelea kutoa matamko ya kukipaka matope chama na hakuna anayetoa tamko lolote kulikemea au kusuta matamko yake?
 
CHADEMA walitoa taarifa rasmi ya pole, wakasema wanapeperusha bendera nusu mlingoti na jana viongozi wao wa kitaifa waliopo Dar walifika kuaga mwili wa Hayati Magufuli.

Yote kwa yote viongozi wao walirudia kusema hawana kinyongo na wala hawakuwa na visasi na Magufuli.

Kama tuna kumbukumbu sahihi, mara zote CHADEMA walikuwa wakihubiri maridhiano ya kitaifa, mara kadhaa walitaka kukutana na Magufuli lakini Magufuli alikataa kata kata kuwepo na maridhiano nao.
Maridhiano ya nin,kwani Magufuli na Chadema wamewahi kuwa na ugomvi wowote?
 
CCM bado mnahangaika na Magufuli? Unafikiri Kuna mpinzani anamchukia Magufuli? Magufuli siyo ajenda ya upinzani sahizi ashakufa labda mumzungumzie Samia Suluhu
 
Huu ni mfano wa kuigwa ndugu. Mnyika alienda kama Mnyika hatukuona wanachama wa Chadema.

Hakuna ambalo wangefanya lingekuwa zuri. Wangetoa ujumbe kama wa ACT bado mngesema wamechelewa kuutoa. Kwanini sio mwenyekiti, nk.

Tumeanza hata kujali salamu za misiba. Kweli tutaweza chochote kikubwa katika nchi kama akili yetu ni kuwaza mambo ya namna hii???
 
Unawazungumzia akina nani?
 
Back
Top Bottom