ACT kimekuwa chama cha upinzani tangu lini?Huu ni mfano wa kuiga maana huu ni msiba wa kitaifa.View attachment 1731116
ACT kimekuwa chama cha upinzani tangu lini?Huu ni mfano wa kuiga maana huu ni msiba wa kitaifa.View attachment 1731116
Uzuri umelikubali kuwa ni swali. Nasubiri jibu!Swali gani hili?
hakuwa mwenyewe. alikuwa na viongozi wa chadema. na hata baadhi ya picha zinaonyesha hivyoHuu ni mfano wa kuigwa ndugu. Mnyika alienda kama Mnyika hatukuona wanachama wa Chadema.
nimekujibu swali lingine kabisa. my point was not about ujumbe wa act.. was about viongoz wengine wa upinzani kuonekana kwe ye msiba.Ujumbe wa Act wazalendo umeulewa?
Ina maana jana hujamuona Manyika au
Sasa mbona lilesenge linaendelea kutoa matamko ya kukipaka matope chama na hakuna anayetoa tamko lolote kulikemea au kusuta matamko yake?CHADEMA walitoa taarifa rasmi ya pole, wakasema wanapeperusha bendera nusu mlingoti na jana viongozi wao wa kitaifa waliopo Dar walifika kuaga mwili wa Hayati Magufuli.
Yote kwa yote viongozi wao walirudia kusema hawana kinyongo na wala hawakuwa na visasi na Magufuli.
Kama tuna kumbukumbu sahihi, mara zote CHADEMA walikuwa wakihubiri maridhiano ya kitaifa, mara kadhaa walitaka kukutana na Magufuli lakini Magufuli alikataa kata kata kuwepo na maridhiano nao.
Maridhiano ya nin,kwani Magufuli na Chadema wamewahi kuwa na ugomvi wowote?CHADEMA walitoa taarifa rasmi ya pole, wakasema wanapeperusha bendera nusu mlingoti na jana viongozi wao wa kitaifa waliopo Dar walifika kuaga mwili wa Hayati Magufuli.
Yote kwa yote viongozi wao walirudia kusema hawana kinyongo na wala hawakuwa na visasi na Magufuli.
Kama tuna kumbukumbu sahihi, mara zote CHADEMA walikuwa wakihubiri maridhiano ya kitaifa, mara kadhaa walitaka kukutana na Magufuli lakini Magufuli alikataa kata kata kuwepo na maridhiano nao.
Huu ni mfano wa kuigwa ndugu. Mnyika alienda kama Mnyika hatukuona wanachama wa Chadema.
Unawazungumzia akina nani?Hakuna ambalo wangefanya lingekuwa zuri. Wangetoa ujumbe kama wa ACT bado mngesema wamechelewa kuutoa. Kwanini sio mwenyekiti, nk.
Tumeanza hata kujali salamu za misiba. Kweli tutaweza chochote kikubwa katika nchi kama akili yetu ni kuwaza mambo ya namna hii???