ACT hakina msimamo kinaenda na upepo kinaangalia vyama vikubwa kama Chadema vinataka nini. Mwanzo walikuwa na kauli mbiu yao ya TUMEHURU KUELEKEA KATIBA MPYA, leo wanasema KATIBA MPYA NI SASA.
Tusiwabeze ACT bado ni wachanga hawajui kwenye siasa ili uaminiwe unahitaji consistency. Waendelee kujifunza kwa Chadema yenye msimamo usioyumba.
Tusiwabeze ACT bado ni wachanga hawajui kwenye siasa ili uaminiwe unahitaji consistency. Waendelee kujifunza kwa Chadema yenye msimamo usioyumba.