Wameshaona wale waliokuwa wanawategemea kama kikwazo cha katiba wamekwama ku push agenda yao !hivyo bora waungane na wenzao kwa shingo upande!!
Siku anawaahidi akina zittow ajira ya miaka 9 neno lilimtoka ya kuwa mchakato wa KATIBA mpya utaanza 2026.ACT hakina msimamo kinaenda na upepo kinaangalia vyama vikubwa kama Chadema vinataka nini. Mwanzo walikuwa na kauli mbiu yao ya TUMEHURU KUELEKEA KATIBA MPYA, leo wanasema KATIBA MPYA NI SASA.
Tusiwabeze ACT bado ni wachanga hawajui kwenye siasa ili uaminiwe unahitaji consistency. Waendelee kujifunza kwa Chadema yenye msimamo usioyumba.
Alisema hivyo katika context ya uwepo wake madarakani WAKATI HUO Baada ya UCHAGUZI wa 2025!!Sasa kama UCHAGUZI hautokuwepo mwaka HUO sijui yeye atakuwa wapi!!!Siku anawaahidi akina zittow ajira ya miaka 9 neno lilimtoka ya kuwa mchakato wa KATIBA mpya utaanza 2026.
Alichosahau ni kuwa alikuwa anataja mwaka wa Kupatikana KITABU kipya 2026 Ili UNABII utimie.
Muda wa kupatikana KATIBA mpya umefika, Tutaongea wote lugha moja, Tunawahitaji pia ACT na vyama vingine Kwa kuwa Katiba mpya ni ya Watanzania wote. Amen
Zito na kundi lake wanawaza uchaguzi na kugawana vyeo.Hiyo banner mbona inasomeka;
"TUME HURU - KUELEKEA KATIBA MPYA.."
Is this a U - TURN?
In my opinion, bado huu ndio msimamo wa ACT - Wazalendo kama ilivyokuwa mwanzo..
Wao siku zote hoja yao imekuwa wanataka TUME HURU YA UCHAGUZI kwanza KUELEKEA uchaguzi mkuu wa 2025 na kisha ndiyo KATIBA MPYA iandikwe...
CHADEMA, wao ni KATIBA MPYA YA WANANCHI kwanza kabla ya uchanguzi mkuu wa 2025 na hayo mengine ya vijitaasisi vidovidogo ikiwe NEC nk zizaliwe na katiba hiyo mpya..
Ndo kusema, wote CHADEMA na ACT Wazalendo wanaelekea kwenye destination moja but using different routes...!
Kwa mtazamo wangu, ACT WAZALENDO hawajapinda. Bado wana msimamo wao uleule...!
Inatosha akihakikisha tunapata kitabu kipya chini ya uongozi wake, ataandikwa ktk vitabu vya kumbukumbu Kwa heshima kubwa. Tutamsamehe Kwa mapungufu ktk utawala wake. AmenAlisema hivyo katika context ya uwepo wake madarakani WAKATI HUO Baada ya UCHAGUZI wa 2025!!Sasa kama UCHAGUZI hautokuwepo mwaka HUO sijui yeye atakuwa wapi!!!
Namna hiyo inapendeza🚶Wameshaona wale waliokuwa wanawategemea kama kikwazo cha katiba wamekwama ku push agenda yao !hivyo bora waungane na wenzao kwa shingo upande!!!
Hawa wanafanya hivi kwa maelekezo maalum toka ndani kabisaACT hakina msimamo kinaenda na upepo kinaangalia vyama vikubwa kama Chadema vinataka nini. Mwanzo walikuwa na kauli mbiu yao ya TUMEHURU KUELEKEA KATIBA MPYA, leo wanasema KATIBA MPYA NI SASA.
Tusiwabeze ACT bado ni wachanga hawajui kwenye siasa ili uaminiwe unahitaji consistency. Waendelee kujifunza kwa Chadema yenye msimamo usioyumba.
Kiongozi wetu wa chama.. Mhimili wetuHiyo banner mbona inasomeka;
"TUME HURU - KUELEKEA KATIBA MPYA.."
Is this a U - TURN?
In my opinion, bado huu ndio msimamo wa ACT - Wazalendo kama ilivyokuwa mwanzo..
Wao siku zote hoja yao imekuwa wanataka TUME HURU YA UCHAGUZI kwanza KUELEKEA uchaguzi mkuu wa 2025 na kisha ndiyo KATIBA MPYA iandikwe...
CHADEMA, wao ni KATIBA MPYA YA WANANCHI kwanza kabla ya uchanguzi mkuu wa 2025 na hayo mengine ya vijitaasisi vidovidogo ikiwe NEC nk zizaliwe na katiba hiyo mpya..
Ndo kusema, wote CHADEMA na ACT Wazalendo wanaelekea kwenye destination moja but using different routes...!
Kwa mtazamo wangu, ACT WAZALENDO hawajapinda. Bado wana msimamo wao uleule...!
Ila hofu yangu wale wanahila isije kuwa wanatumia mbinu ya kuchelewesha kupatikanika kwayo kupitia hiki kinachoendelea hivi Sasa🤔Hawa wanafanya hivi kwa maelekezo maalum toka ndani kabisa
Huku nje pressure ni kubwa sana, itawarudisha watakaa kwenye mstari. Nia OVU mwisho umefika. MAOMBI yanaendelea Kwa bidii sana Mungu aingilie kati.Hawa wanafanya hivi kwa maelekezo maalum toka ndani kabisa
Hiyo ni banner kabla ya u turnHiyo banner mbona inasomeka;
"TUME HURU - KUELEKEA KATIBA MPYA.."
Is this a U - TURN?
In my opinion, bado huu ndio msimamo wa ACT - Wazalendo kama ilivyokuwa mwanzo..
Wao siku zote hoja yao imekuwa wanataka TUME HURU YA UCHAGUZI kwanza KUELEKEA uchaguzi mkuu wa 2025 na kisha ndiyo KATIBA MPYA iandikwe...
CHADEMA, wao ni KATIBA MPYA YA WANANCHI kwanza kabla ya uchanguzi mkuu wa 2025 na hayo mengine ya vijitaasisi vidovidogo ikiwe NEC nk zizaliwe na katiba hiyo mpya..
Ndo kusema, wote CHADEMA na ACT Wazalendo wanaelekea kwenye destination moja but using different routes...!
Kwa mtazamo wangu, ACT WAZALENDO hawajapinda. Bado wana msimamo wao uleule...!
Bado kidogo kina Zitto na chawa wake watakuwa Kama Lipumba.Hawa wanafanya hivi kwa maelekezo maalum toka ndani kabisa