ACT wazalendo waungana na CHADEMA wamtaka Rais Samia awajibike kwenye matukio ya utekaji

ACT wazalendo waungana na CHADEMA wamtaka Rais Samia awajibike kwenye matukio ya utekaji

Wanawake wamekerwa na Mama Samia. Sijui kwanini hawachukulii hatua watekaji na wauwaji.

Hata CCM wenzake wamemchoka ndio maana katika hili la utekaji na mauaji hawamtetei.


View: https://m.youtube.com/watch?v=FgW9_baDWBM&pp=ygULQWN0ICsgU2FtaWE%3D

Inaelekea ACT Wazalendo ina damu mpya ambayo imeenza kuwa na sauti. Mwakilishi wao katika maziko ya Marehemu Kibao nae aliongea maneno makali sana kwa serikali. Inawezekana wanataka kujitenga na ile dhana ya uCCM B hasa kwenye masuala yanayohusu Bara.

Amandla...
 
Hawa wapumbavi wamejaa kimya muda wote kukemea utekaji, mauaji na watu kupotea sasa wamedandia ili iwe mtaji wa kampeni kwenye uchaguzi haya ni maushuzi
 
Back
Top Bottom