kitewele2020
New Member
- Nov 4, 2021
- 1
- 1
Ok.🐒Ikumbukwe kuwa ACT-Wazalendo iliomba mapitio(Judicial Review) Mahakama kuu ikipinga ukokotoaji INEC wa Viti Maalum, baada ya kufungua shauri Wabunge wa Viti Maalum wa CCM waliomba kuunganishwa kwenye shauri hilo kwa kile walichoeleza kuwa wanamaslahi yanayoweza kuathirika kutokana na shauri lilofunguliwa, hivyo waliomba kuunganishwa kwenye shauri hilo Mahakama Kuu iliwakatalia, na hivyo waliomba marejeo Mahakama ya Rufani.
Katika uamuzi wake uliosomwa leo katika shauri la Juliana Shonza & Others vs Registered Trustees of Alliance for Change & Transparency (ACT Wazalendo) & Others (Civil Application No. 126 of 2026) [2026] TZCA 801 (23 July 2026) Mahakama imekubaliana na maambi ya marejeo yaliyowasilishwa na kufuta shauri mwenendo na shauri lililofunguliwa na ACT, kwa maelekezo kwamba kama ACT wakipenda walifungue upya shauri hilo kwa kuwahusisha wabunge wa Viti maalum
Pia Soma: Sakata la wabunge wa viti maalumu, ACT Wazalendo yatinga mahakamani
Ikumbukwe kuwa ACT-Wazalendo iliomba mapitio(Judicial Review) Mahakama kuu ikipinga ukokotoaji INEC wa Viti Maalum, baada ya kufungua shauri Wabunge wa Viti Maalum wa CCM waliomba kuunganishwa kwenye shauri hilo kwa kile walichoeleza kuwa wanamaslahi yanayoweza kuathirika kutokana na shauri lilofunguliwa, hivyo waliomba kuunganishwa kwenye shauri hilo Mahakama Kuu iliwakatalia, na hivyo waliomba marejeo Mahakama ya Rufani.
Katika uamuzi wake uliosomwa leo katika shauri la Juliana Shonza & Others vs Registered Trustees of Alliance for Change & Transparency (ACT Wazalendo) & Others (Civil Application No. 126 of 2026) [2026] TZCA 801 (23 July 2026) Mahakama imekubaliana na maambi ya marejeo yaliyowasilishwa na kufuta shauri mwenendo na shauri lililofunguliwa na ACT, kwa maelekezo kwamba kama ACT wakipenda walifungue upya shauri hilo kwa kuwahusisha wabunge wa Viti maalum
Pia Soma: Sakata la wabunge wa viti maalumu, ACT Wazalendo yatinga mahakamani
Waulize kina halima walifikia wapi baada ya kugongwa Mahakama kuu na chadema...kesi ya Halima Mdee na wenzake imeishia wapi?
ACT ni genge la wahuni wasaka tonge ndio maana wanakuja na maneno Zanzibar tumeingia mazungumzo kumbe wanamendea nafasi za uwaziri na umakamu wa Rais wa kwanza. Ujinga mtupu.Ikumbukwe kuwa ACT-Wazalendo iliomba mapitio(Judicial Review) Mahakama kuu ikipinga ukokotoaji INEC wa Viti Maalum, baada ya kufungua shauri Wabunge wa Viti Maalum wa CCM waliomba kuunganishwa kwenye shauri hilo kwa kile walichoeleza kuwa wanamaslahi yanayoweza kuathirika kutokana na shauri lilofunguliwa, hivyo waliomba kuunganishwa kwenye shauri hilo Mahakama Kuu iliwakatalia, na hivyo waliomba marejeo Mahakama ya Rufani.

KotamaOk.🐒