mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Hiyo apo chini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sizani Kama usaliti bali ni aproch yao yakufikia malengoAct Wasaliti wenyewe wanajiita ACT Wazalendo na huku Tanganyika wamekimbia kabisa.
Sizani Kama usaliti bali ni aproch yao yakufikia malengo
"Level field of play" ndo ulikuwa unataka kumaanisha nini... mpende Kiswahili jamani... lugha za watu hizi. Hata hivo, mwanaume unapambana, huwezi acha kuingia uwanjani ukidhani mpinzani wako atakuchezea rafu, na wewe siucheze... mambo ya umama umama ndo mnaibiwa hivo hivo kila siku.Pls pls Mr.Zito why unajipeleka so down namna hii kwa sababu ya njaa?binafsi nilikua nakuweka above President wa EFF Mr.Malema,maana wewe umeenda shule na ukaelimika vya kutosha ,sasa why unataka kuhalalisha uchaguzi huu ambao unajua fika mshindi atakua nani?pigania tupate level field of play sio mazingaombwe haya ya sasa.
Umeandika propaganda tupu, hao wanaoshinda kwa kura za kwenye mabegi meusi kama unaona wana watu huko chini msaada wa tume ya uchaguzi huutafuta wa nini?"Level field of play" ndo ulikuwa unataka kumaanisha nini... mpende Kiswahili jamani... lugha za watu hizi. Hata hivo, mwanaume unapambana, huwezi acha kuingia uwanjani ukidhani mpinzani wako atakuchezea rafu, na wewe siucheze... mambo ya umama umama ndo mnaibiwa hivo hivo kila siku.
Kwa ushauri, tu hakikisheni mnakuwa na akili ya kushawishi raia vizuri wawaelewe, sio kila siku mnaombea Taifa mabaya halafu wananchi wakawaamini wawape kura. Kamwe haitotokea. Mrema alipambana kipindi kile kwa Tume hii lakini ona maajabu aliyoyafanya. Lowasa pia 2015 alifanya maajabu kwa Tume hiyo hiyo.
Sasa mlishakaa chini na kujihoji chanzo cha nyinyi kufeli ni nini, "USHAWISHI KWA WANANCHI WA HALI CHINI KABISA" ni ZERO. Siasa ni Sayansi, Siasa ni Hesabu. Mkishauriwa povu jingi.
Ni vigumu kupata uwanja huru ila pambana na hali yako. Dunia ndo ilivyo, endelea kusubiri Tume huru na Katiba mpya, South Africa ipo ila imefanya maajabu gani, Kenya ipo ila imefanya maajabu gani, Marekani ipo imefanya maajabu gani. Zambia hamna ila upinzani umeshinda uchaguzi, vivyo hivyo na Malawi. Ukisusa wenzako wala.
Zitto nampongeza kwa sababu anajua kucheza karata zake vyema. Tunachokianbalia hapa ni chansi, ikipatikana itumie vyema. Maalimu Seif (RIP), alipambana mpaka tone lake la mwisho, matunda aliyoyapata ndo hiyo unayoiona asahivi, SUK. Angesusia uchaguzi je ingekuaje? Upinzani unahitaji ujasiri na hekima. Labda nikupe mfano ambao wala hata hauhusiani sana na siasa. Talibani wamepambana na Marekani kwa miaka 20, ukifananisha uwezo wao unaonaje kulikuwa na mizania sawa ya upambanaji lakini ndo hao sasa hivi wanaendesha nchi yao. Wewe ni nani sasa umekuja juzi kwenye siasa unataka kuingia tu kirahisi kwenye madaraka, kulinda maslahi ya nchi.
Mwisho ni vyema kuwaheshimu viongozi wa Serikali, maana wao ndo wameshika mpini, na nyie makali. Kwani ukijishusha itakuwaje. Mbona mbinu za kupambana na adui ni nyingi tu.
No offence
RIP JPM
Kazi iendelee
Mama aupige mwingi
Pumbavu mkubwa!"Level field of play" ndo ulikuwa unataka kumaanisha nini... mpende Kiswahili jamani... lugha za watu hizi. Hata hivo, mwanaume unapambana, huwezi acha kuingia uwanjani ukidhani mpinzani wako atakuchezea rafu, na wewe siucheze... mambo ya umama umama ndo mnaibiwa hivo hivo kila siku.