Wakuu,
Chama cha ACT Wazalendo kimeshinda Uenyekiti wa kijiji kwenye vijiji vya Ligoma, Chikomo, Mbesa na Amani vilivyopo kwenye jimbo la Tunduru Kusini, mkoani Ruvuma.
Ikumbukwe kuwa uchaguzi wa Serikali za mitaa umefanyika jana tarehe 27 Novemba, 2024 Tanzania bara.