ACT-Wazalendo yatoa masharti Uchaguzi Mdogo Konde

Uko kwingine ndo kamwe huwezi kufanikiwa kwa lolote.kama tu vyama vya siasa vinakutana na madhila yote hayo na viko kisheria na katiba iliyopo inatamka wazi uwepo wake usitegemee hayo makundi mengine yatafanikiwa hicho unachokitaka kabla hawajakutana na rungu kubwa la serikali ya chama kinachoogopa hoja.Njia pekee na rahisi ni hii hii ya siasa na hiyo misuguano ipo tu na kamwe haiwezi kuacha kuwepo kwasababu ya upuuzi wetu kama binadamu wakiafrika.watu watakua wanakuja nakupita hadi mambo yatakapokaa sawa kwasababu watu wanaelimika na kujua haki zao.Kuna muda utafika wengine wataamua kutumia njia ambazo wamewai kuzitumia wengine lakini hiyo huwa ni hatua ya mbali sana kwenye madai kama hayo.Tatizo hapa sio vyama vya siasa au siasa tatizo hapa ni ukondoo miongoni wa wananchi wengi ndo maana wanasiasa wenye madaraka wanatumia hiyo nafasi kuamua vile wanataka wao.
 
Kwanza Askofu Mwamakula na Sheikh Ponda ni viongozi wa dini ambao kimsingi hawana ushawishi kwa viongozi wao.

Lakini tambua nimetaja Baraza la viongozi wa dini kwa ujumla wao siyo mmoja mmoja kwa mmoja mmoja itakuwa rahisi kushughulikiwa.

Mbona 2010 viongozi wa dini walipushi sana agenda ya katiba mpya ?
 
Ninachokiona hapa hawa wanaopigia chapuo katiba mpya kipind hiki lengo lao haswa si katiba isipokua wana malengo mengineyo ila hili LA katiba wanalitumia km nyenzo ya kufanikisha hayo wanayoyataka na ndio maana mipango yao sio thabit wala endelevu.
Malengo mengine yapi?.Hebu yataje tuyajue.Maana wanaokwamisha mchakato usiwe endelevu ni ccm na serikali yake.au unajifanya hujui kinachoendelea.
 
Katika siasa wananchi popote pale huwa ni kondoo. Mwanasiasa unatakiwa kuwafanya hao kondoo kuwa upande wako.

Tusitegemee wananchi watakuja kuinuka tu bila kuinuliwa Never.
 
Nimetaja pia Baraza la Maaskofu wa Kikatoliki Tanzania ambao hadi sasa wameamua kupiga kimya. Ngoja idadi ya waumini kwenye nyumba zao za ibada wapungue na sadaka zipungue labda watatia akili kichwani.
 
Kama uliona walipush nikwasababu serikali iliyokuwepo iliona hakuna haja yakusumbuana na jamii inayohitaji kujiwekea mwongozo wakujiongoza.ila hii ya sasa haina hoja ndo maana unaona mambo kama hayo yanajitokeza.
 
sijawahi shinda uchaguzi tangu nianze kupiga kura 1995. Yaani kila nimchaguaye anafeli. Kwa sasa sishiriki tena uchaguzi wowote,labda ule wa Jumuiya ndogondogo za kikristu tu ambazo majirani humchagua kiongozi jirani yetu kwa amani
 
Nguvu ikiwa kubwa hata wao wataanza kutafuta namna ya kutuliza.

Kikwete alilainika baada ya kuona nguvu kubwa ya agenda ya katiba imemwelemea akaona no way lazima akubali.

Hata huyu wa sasa ni rahisi sana sauti zikiwa nyingi watalainika tu.

Kwanza chama chao hakina ushawishi tena kwa wananchi na wao kwenye top leadership ni hawana ushawishi tena unategemea wataendelea kukaza shingo?
 
Nimetaja pia Baraza la Maaskofu wa Kikatoliki Tanzania ambao hadi sasa wameamua kupiga kimya. Ngoja idadi ya waumini kwenye nyumba zao za ibada wapungue na sadaka zipungue labda watatia akili kichwani.
Maybe haijafanyika msukumo mkubwa kuwaamsha juu ya hilo ?
 
ACT; Tuliwaambia CCM wana urafiki wa kinafiki...mnaona sasa.
 
Kama uliona walipush nikwasababu serikali iliyokuwepo iliona hakuna haja yakusumbuana na jamii inayohitaji kujiwekea mwongozo wakujiongoza.ila hii ya sasa haina hoja ndo maana unaona mambo kama hayo yanajitokeza.
Ni kweli lakini hakuna haki inayopatikana kwa hisani

At the same time kwenye siasa huwezi ukapata vyote labda kama mko vitani tu.
 
Malengo mengine yapi?.Hebu yataje tuyajue.Maana wanaokwamisha mchakato usiwe endelevu ni ccm na serikali yake.au unajifanya hujui kinachoendelea.
Nimemuuliza akaufyata akakimbia
 
Nimemuuliza akaufyata akakimbia
Sijakimbia nimeamua kutolijibu swali lako,ktk taasis yoyote kubwa km cdm kuna malengo ambayo yanajadiliwa kwenye vikao tu vya waandamiz lkn pia kuna malengo ambayo huwa yanatolewa nje km malengo ya taasis.
 
Katiba mpya ndio suluhisho la changamoto hizi za uchaguzi
 
Zitto alikuwa Mbunge na anajua kabisa kuwa sheria zozote zinatungwa na Bunge na hata marekebisho yake lazima yapelekwe Bungeni, sasa anachodai kuwa sheria za za Uchaguzi za ZEC na NEC kwa muda mfupi huu haoni kuwa haiwezekani na ratiba ya Bunge kukaa vikao vyake bado iko mbali na ukizingatia Uchaguzi wa Jimbo la Konde wakati wowote unaweza kufanyika kabla ya vikao vya Bunge kukaa? Uchaguzi ufanyike mpaka Katiba Mpya itakapopitishwa
 
Msukumo mkubwa kwa kanisa katoliki umefanyika kupitia waumini makanisani hata kwenye Twitter account yao, kwa waislamu sina uhakika lakini kama tujuavyo Bakwata ni kama kitengo cha maccm ukiondoa masheikh wachache ambao wanayapinga maccm wazi wazi.
Maybe haijafanyika msukumo mkubwa kuwaamsha juu ya hilo ?
 
Very good idea mkuu... I second this
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…