Ungetaja tu hayo malengo mengine ya wanaopush agenda ya katiba ingetosha badala ya kuzungukazunguka.Sijakimbia nimeamua kutolijibu swali lako,ktk taasis yoyote kubwa km cdm kuna malengo ambayo yanajadiliwa kwenye vikao tu vya waandamiz lkn pia kuna malengo ambayo huwa yanatolewa nje km malengo ya taasis.
Nafikiri tutafakari upya mbinu zetu za lobbying na kupanua wigo wa kampeni.Very good idea mkuu... I second this
Othman masoud othman, shikamoo za siku
bila wewe kutaka kuchomoa betri sidhani zito angeingiziwa mpunga kwenye akaunti yangetokea hayo..
Othmani masoud othman shikamoo
nakwambia alikua anarudi masomoni ujeruman alikokua anapiga shule, anasema hayuko tayari kupigiwa ving'ola Ali hali watu wanaumizwa na taratibu hazifatwi kabisa walizojiwekea,Jamaa namheshimu sana huyu anasimamia kile anachokiamini bila kuyumba yumba hata kama akitishwa.
nakwambia alikua anarudi masomoni ujeruman alikokua anapiga shule, anasema hayuko tayari kupigiwa ving'ola Ali hali watu wanaumizwa na taratibu hazifatwi kabisa walizojiwekea,
Natamani tundu Lisu arudi haraka baada ya kumalizia kazi yake huko aliko, nchi hii Tz bila hawa watu wawili Ccm itaendelea kutusumbua sana nakutuchelewesha mana hawataki kukubali
Mungu amlinde mwezetu mana anapitia magumu sana, tu shukuru mungu hawakushambulia mdomo wakeAnafanyiwa operesheni nyingine ya 27 (nadhani August 27th) tangu ashambuliwe na wasiojulikana waliotumwa na dhalimu mwendazake.
na hua hapangiwi anapangaAmen Mkuu [emoji1488][emoji1488][emoji1488] Mwenyezi Mungu Mkubwa.
Ama hujui unalosema, au unajaribu akili za watu wazimaKiuhalisia ei si ti hawapo tayar kwa uchaguz na ndio maana wametoa masharti ambayo hayawezekani