Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Hapa ndio CCM inapozidi kuwapiga gape wapinzani, maana wana hela afu wana watu, yaani mpaka kontena la uchawa lipo standby kwaajili ya uchawa tu. Bila upinzani kuungana, kumpiga CCM itakuwa muujiza!
=====
Chama cha ACT Wazalendo kimewaomba wananchi kuchangia kwa hali na mali kufanikisha ushiriki wa chama hicho katika uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.
Chama hicho kimeeleza kuwa mchango wa wananchi ni nyenzo muhimu ya kuhakikisha wagombea wake wanashiriki kikamilifu na kuimarisha demokrasia katika ngazi za msingi za mitaa, vijiji, na vitongoji.
ACT Wazalendo imefafanua kuwa uchaguzi huu ni fursa muhimu ya kuimarisha demokrasia nchini, ikiwasihi wananchi kuendelea kushiriki kwa bidii, hasa kupitia kampeni na kuchangia rasilimali.