Zanzibar 2020 ACT-Wazalendo yazindua Ilani ya Uchaguzi ya Zanzibar

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
631
Reaction score
1,577
Chama cha ACT-Wazalendo leo kimezindua Ilani ya Uchaguzi ya visiwani Zanzibar ambapo Maalim Seif Sharif Hamad ambaye anagombea Urais ni Mgeni Rasmi

Akitoa muhtasari wa Ilani, Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Zanzibar, Othman Masoud amesema imegusa kila kitu na Katiba ya Zanzibar imesaidia kutoa mwongozo wa Ilani

Pia, ameeleza kuwa Ilani hiyo yenye Sura 19 inakusudia kurekebisha yanayopaswa kurekebishwa

Baadhi ya masuala yaliyojumuishwa katika Ilani ni Mamlaka ya Zanzibar, Muungano, Uongozi, Ulinzi na Usalama, Uhuru wa vyombo vya habari na Utalii



 
Yaani Act zanzibar kuliko ulaya
Ukweli zanzibar watafanya kosa kubwa kuichagua ccm.
Mwanasheria Mkuu mstaafu Othman Masoud ni Asset na mrithi makini wa Maalim Seif
Ni mtu makini sana msimi na mchambuzi mzuri. Above yote ni Mzalendo wa Zanzibar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maalim Seif sio rahisi kumuachia Zanzibar hata iweje ...

mwe !
 
Maalim Seif sio rahisi kumuachia Zanzibar hata iweje ...

mwe !
Unakusudia kama vile waingereza walivyomuachia Nyerere ? Nlikuwa sina habari kama Zanzibari inatafuta uhuru chini ya Maalim Seif.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…