ACT Wazalendo

Chanzo cha yote haya ni ccm, iliyoamua kuwafanya wananchi wake kuwa maskini kwa kuulea ufisadi na ufujwji wa Mali za uma na rasilimali zote.

Kama kweli unaumia kwa albino kuuawa, basi tufanye hima kuiua ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…