Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wanataka kufuatilia kila maongezi kwenye gari na huyo dereva ni chawa wa kubeba umbea wote.Hayo magari yamejaa vinasa sauti vya Kila aina
Tangu lini mgombea nafasi ya uongozi nchi hii akakataa V8 ya hongo? Kuna namna fulani ya usanii hapa.... π³Mwanasheria Mkuu wa ACT-Wazalendo, Omar Issa Shaaban, amesema chama hicho kimeamua kutopokea gari na walinzi, kwa kuwa kipo vizuri, na badala yake, Tume itumie gari hilo kwa matumizi mengine.
Ombi hilo limetolewa wakati Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Luhaga Mpina alipokuwa akirejesha fomu za uteuzi kwenye ofisi za Tume leo Septemba 13, 2025
Hizi zote bado ni sinema zetu tuππ .hakika ni za kwetuMwanasheria Mkuu wa ACT-Wazalendo, Omar Issa Shaaban, amesema chama hicho kimeamua kutopokea gari na walinzi, kwa kuwa kipo vizuri, na badala yake, Tume itumie gari hilo kwa matumizi mengine.
"Chama kimenielekeza nikwambie kwamba kwenye rasilimali ya gari tunashukuru tupo vizuri tunaomba litumike kwa matumizi mengine lakini ulinzi tupo tayari"
Ombi hilo limetolewa wakati Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Luhaga Mpina alipokuwa akirejesha fomu za uteuzi kwenye ofisi za Tume leo Septemba 13, 2025
Hivi TLS ni idara ya sirikali?Ta
Tangu lini mgombea nafasi ya uongozi nchi hii akakataa V8 ya hongo? Kuna namna fulani ya usanii hapa.... π³
Iwapo Mwambukusi na umakini wake hakuwahi kuikataa V8 baada ya kuukwa urais wa TLS....nyie Wazalendo wa Mayi Mayi mna ajenda gani ya siri? π€π§
Ni #tag episode nyinge ikitoka, Nafuatilia kwa ukaribu sana.Hizi zote bado ni sinema zetu tuππ .hakika ni za kwetu
Waliotikisa vichwa π€£π€£π€£Mwanasheria Mkuu wa ACT-Wazalendo, Omar Issa Shaaban, amesema chama hicho kimeamua kutopokea gari na walinzi, kwa kuwa kipo vizuri, na badala yake, Tume itumie gari hilo kwa matumizi mengine.