Activist Edwin Kiama taken to court on cyber crime offences

Activist Edwin Kiama taken to court on cyber crime offences

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Activist Edwin Kiama was arrested last evening. He's being taken to court this morning on cyber crime offences. The police are accusing him of making the below public notice asking the world to stop lending money to Kenya. The money Uhuruto borrows is stolen.

3D73DDE9-9439-43CD-A524-2CC52D91AC48.jpeg
DF978E97-247B-4BBA-AAF9-01D1F67E8C74.jpeg
BDF8637C-A272-431D-872E-F4B1D858AD19.jpeg

Update

The prosecution wants activist Edwin Mutemi Kiama held for a period of 14 days pending completion of investigations against him.
Investigating Officer Patrick Kibowen, in an affidavit filed on Wednesday, said he is probing possible offences under the Computer Misuse and Cybercrime Act No.5 of 2018.

Kiama was arrested over two posters warning the International Monetary Fund (IMF) against issuing further loans to President Uhuru Kenyatta and his deputy William Ruto.

The prosecution alluded to suspicion that the suspect must have been in collusion with other persons who are still being pursued.
“If the orders sought are not granted, the respondent is likely to interfere with investigations and potential witnesses,” the court heard.

Further, the investigator said that owing to the complexity and nature of the case, the 14 days will allow for a comprehensive and in-depth probe.
 
Uhuru wako wa kujieleza huwa na vithibiti vyake kulingana na sheria.Huwezi kutumia uhuru wako wa kujieleza kumharibia jina mtu,ngono hadharani au kuchapisha nakala ambazo ni za uchochezi.Kwa ufupi uhuru wa kujieleza unaisha pale unapo ingilia mtu mwingine
 
Soma Limitations of freedom of expression
 
Mimi hilo la uhuru wa kuijieleza wala sina shida nalo ila shida yangu ni hilo la hayo mamikopo!

Hawa jamaa si wana GDP kubwa sana hapa EAC kwa mujibu wao? Sasa mamikopo ya nini.?
 
Uhuru wako wa kujieleza huwa na vithibiti vyake kulingana na sheria.Huwezi kutumia uhuru wako wa kujieleza kumharibia jina mtu,ngono hadharani au kuchapisha nakala ambazo ni za uchochezi.Kwa ufupi uhuru wa kujieleza unaisha pale unapo ingilia mtu mwingine
Hayo unayosema yakitokea Tanzania, mnasema hakuna Uhuru wa kujieleza, ila yakitokea Kenya mnakuja na sababu nyingi za kuhalalisha upuuzi, ndio sababu pamoja na fujo za Magufuli lakini bado Tanzania ipo juu yenu katika demokrasia
 
Mimi hilo la uhuru wa kuijieleza wala sina shida nalo ila shida yangu ni hilo la hayo mamikopo!

Hawa jamaa si wana GDP kubwa sana hapa EAC kwa mujibu wao? Sasa mamikopo ya nini.?
64% ya GDP yao ipo mifukoni mwa watu 62K, wengi wao ni wazungu.
 
Mimi hilo la uhuru wa kuijieleza wala sina shida nalo ila shida yangu ni hilo la hayo mamikopo!

Hawa jamaa si wana GDP kubwa sana hapa EAC kwa mujibu wao? Sasa mamikopo ya nini.?
Mzee mkopo ni moja ya jambo linalokuza GDP
 
Hayo unayosema yakitokea Tanzania, mnasema hakuna Uhuru wa kujieleza, ila yakitokea Kenya mnakuja na sababu nyingi za kuhalalisha upuuzi, ndio sababu pamoja na fujo za Magufuli lakini bado Tanzania ipo juu yenu katika demokrasia
Aisee mambo ya mtandaoni yasije yakakuminya roho ukakata uhai yachukulie juu juu kama kuna jambo muhimu la kujifunza basi, mengine achia mbali.

Kama matamshi ya wakenya yanakukera kiasi hiki mtafute Col.Cyrus Oguna ndio msemaji wa serikali ya kenya natumai atakutuliza.Ila sheria ni sheria Uwe Ukerewe TZ ama Kibera Kenya jazba na upumbavu isikuzidi uende kinyume ya sheria.utafungwa
 
Mimi hilo la uhuru wa kuijieleza wala sina shida nalo ila shida yangu ni hilo la hayo mamikopo!

Hawa jamaa si wana GDP kubwa sana hapa EAC kwa mujibu wao? Sasa mamikopo ya nini.?
Hivi unajua kwetu JPM alikuta mikopo kiasi gani na ameacha kiasi gani?
 
64% ya GDP yao ipo mifukoni mwa watu 62K, wengi wao ni wazungu.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Haya naona una uelewa mzuri wa mikopo hadi unafahamu 64% ya PLT imo mifukoni mwa watu binasfi. Haya tueleze taratibu za kupata mkopo wa Kimataifa Kwa taifa na hatua inazopitia ndio wote tuweze kujadili kutokana na mtazamo utakao tupa
 
Aisee mambo ya mtandaoni yasije yakakuminya roho ukakata uhai yachukulie juu juu kama kuna jambo muhimu la kujifunza basi, mengine achia mbali.Kama matamshi ya wakenya yanakukera kiasi hiki mtafute Col.Cyrus Oguna ndio msemaji wa serikali ya kenya natumai atakutuliza.Ila sheria ni sheria Uwe Ukerewe TZ ama Kibera Kenya jazba na upumbavu isikuzidi uende kinyume ya sheria.utafungwa
Kati ya Mimi na wewe nani mwenye kukera na mwengine?, punguza upuuzi wa Kikuyu

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Haya naona una uelewa mzuri wa mikopo hadi unafahamu 64% ya PLT imo mifukoni mwa watu binasfi. Haya tueleze taratibu za kupata mkopo wa Kimataifa Kwa taifa na hatua inazopitia ndio wote tuweze kujadili kutokana na mtazamo utakao tupa
Hatua ya kwanza na muhimu ni lazima nchi iwe na slums nyingi, rushwa iwe imetamalaki na ukabila uwe ndio kigezo cha kuchagua viongozi.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom