Kitendo cha gavana Wa DZM kumpiga Mzee MAKAMO WA RAIS MSTAAFU amtafisri lije jambo
Je kuna kesi dhidi yake inayo endelea kwa kitendo au tukumbusha iliishia wapi
S.8-18 penal code kitendo hicho ikukulika mbele na heshima ya Tanzania kwa huyo mzee kupigwa na gavana bila kuchukuliwa hatua...hiyo