Sijajua kipi kinakushangaza hapo?.

Ulifikiri ada itabaki static, haitobadilika?

Nina wasiwasi na uelewa wako kwakweli.
Kaka mwenyewe nalikuwa najua 1.3mil nikaambiwa na rafiki yangu nikambishia, baada ya kufungua mtandao nimekuta tangazo la kufika na usajili chuoni ni 1st & 2nd Oct. Na maelekezo yakuwataka wanaf. Walete 1.5 ada na michango mingine jumla 1.97.....mil kwa mwaka, hii ni mpya mkuu soma vizuri. Ni mchango na hakuna mkopo?

sababu ya mgomo nje nje. mwezi haupiti chuo kitakuwa kishafungwa kwa mgomo my take

Hivi una uhakika na unachoongea kwel!! na Je' hilo Tangazo ni umelielewa vzuri kweli wewe? Ni vzuri ukaulza kwanza kuliko kumek Conclusion mwenyew!!

UDSM Sio IFM Hamna michango ya kufkia 1.9.. Tuition ni 1.3 Kwa B.Com wote except Accounting major na 1.5 kwa B.Com Accounting na hyo sio Lazma ulpe yote ni inalpwa kwa semester.. Michango Mingne ni inaitwa Direct University Cost ambayo ni 74,900/= ukijumlsha hapo ni itafka 1.97 kweli kaka!! Ipitie vzuri document iliyoandkwa Pre-Orientation Information au km unataka kusaidiwa zaid uliza hapa.. Na kuhusu usajili ni kwamba sio 1st & 2nd Oct tuu, ni utaweza kufanya siku yoyote within 2 weeks toka 1st Octber..

Mwaka Huu kweli Kazi Ipo..
mkuu hata kama ada ni 1.5 sidhan hyo michango mingne inaweza kufikia 0.47, labda unambie nin kimeongezeka ukitoa hyo 0.0074500.

usitumie uzoefu naomba usome tena nimelielewa hata kama ni kiingereza nimerudia na nimelielewa ni 1.97...mil ukijumlisha hivyo sijakisia nimesoma naomba urudie tena na nimeongelea kwa ujumla wake kuhusu Udsm b.com.

mkuu hata kama ada ni 1.5 sidhan hyo michango mingne inaweza kufikia 0.47, labda unambie nin kimeongezeka ukitoa hyo 0.0074500.
umenena maana kwenu wote mlisoma chuo kikuu huria. Ndo maana umekuwa mshauri mzuri.Mkasome Open University!!

Mkasome Open University!!
Mkuu acha ubishi mbona jamaa kakuelewesha poa michango mingine mbali na ada ni 74,900/= cash nyingine unapewa wewe na bodi sio wewe unapay,hamna ada iliyopanda