Ada OUT inatisha!

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
737
Reaction score
81
WanaJF Naomba kujua ada ya chuo kikuu huria kwa udergraduates.
 
Nawavutia kufungua hiyo thread lakini kweli siijui
 
Ni kama laki 4 kwa mwaka na unalipa kwa awamu
 
ukipita katika website yao utaona ada zimewekwa wazi. By the way umeweka masuala ya elimu jukwaa la siasa! Nadhani Buchanan ataiona hii na kuiweka panapostahili.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…