Ada ya laki 6 mafunzo ya ualimu inatunyima fursa wanyonge

vickboy.com

Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
85
Reaction score
23
Habarin wanaJF.

Mwenzenu nimechaguliwa kujiunga na mafunzo ya ualimu(diploma) katika chuo cha Mpwapwa lakini kutokana na kupanda kwa ada naona kama ndoto ya kusoma inapotea kutokana na hali mbaya kiuchumi niliyonayo maana sina msaada mwingine zaid ya kujisimamia mwenyewe.

Naombeni ushauri wenu maana ni fursa pekee niliyonayo ya kusoma.
 
Umefunguka kiukweli bilashaska kama nikweli watu wapo utasoma niudhibitisho tu
 
mm kukusaidia tu kimawazo tafuta mfadhili hrk...nenda pale kkoo mtafute bin slum muone yy mwenyewe mueleze tatizo lako vzr usimdanganye nna iman atakusaidia

Hata hapa yatengenezwe mazingila tunachangia tu 20 au 50 elfu tutashindwa mbona nasikia watu humu wanatembelea ma vog?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…