AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Bwana Yesu asifiwe wakuu!
Naomba msaada kwa anayejua gharama ya ada ya shule ya Loyola High School iliyopo Mabibo-Dar, kwani kuna kijana ndugu yangu kapata DivII-20 tunataka tumpeleke hapo akasome HGE kwani selection zao zimechelewa na muda umezidi kwenda.
Ahsanteni
Mungu wa Israel awabariki.
Private Schools si walikwisha anza form V, kachelewa sana huyoo
Mpe hongera zake kjana
Anachouliza ni (ada) garama ya shule munacho munajomjibu ni kingine wa TZ vipi?
Anachouliza ni (ada) garama ya shule munacho munajomjibu ni kingine wa TZ vipi?
Nina wasiwasi kama anaweza kupata nafasi kwa hiyo pass mark