vickboy.com
Member
- Jul 29, 2013
- 85
- 23
Ndg wana jf naomba kujuzwa kama kuna tofauti ya karo kwa mafunzo hayo maana nacte waliandika gharama ya mafunzo ya stashahada ya juu ni laki 6 but kuhusu mafunzo mengine hawajasema kuwa kiasi gan , naomba kufahamshwa kama kuna tofauti na kiasi gan kwa mafunzo kama stashahada ya kawaida ya elimu ya awali.