vickboy.com
Member
- Jul 29, 2013
- 85
- 23
naomba kuuliza hv hakuna majina mengine tena ya ualimu maana daraja la nne hawajaguswa kwa namna yoyote ile
Sikulazimishi kuamini kwa sababu sina kipaji cha uchungaji. Ila wapo tena wengi majority wanao kwenda diploma in primary education wana 4