Ada ya nursing Bugando ni sh. ngapi?

Erick tryphone

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
387
Reaction score
84
Kama kuna mtu yeyote anae jua kuhusu ada ya wanao soma certificate of nursing bugando naomba anijuze
 
Mkuu bugando hawatoi certficate of nursing.wanatoa dip in nursing ada tsh lak 6.wanafunz wanachaguliwa na wizara.nadhan ume elewa.
 
Mkuu bugando hawatoi certficate of nursing.wanatoa dip in nursing ada tsh lak 6.wanafunz wanachaguliwa na wizara.nadhan ume elewa.

Kwa kuongezea angalau awe na mtu anaye mfahamu hapo
 
Kwa kuongezea angalau awe na mtu anaye mfahamu hapo

mkuu kumbe wote wanaosma nursng bugando wana wa2 wanafahamiana hapo?au una maana ip?awe na mtu? kwan bugando ndo wanachagua?au hii iko vp 2juze mkuu.
 
mkuu kumbe wote wanaosma nursng bugando wana wa2 wanafahamiana hapo?au una maana ip?awe na mtu? kwan bugando ndo wanachagua?au hii iko vp 2juze mkuu.

Nilivyoelewa ni kuwa Bugando wanatoa Diploma ya Nursing, wanafunzi wanachaguliwa na Wizara ya Afya kupitia matokeo ya mtihani wa kidato cha sita. Unaweza kuingia kwa njia za panya kama kunamtu unamfahamu hapo chuoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…