PastorPetro
Senior Member
- Feb 25, 2008
- 189
- 36
Habari zenu? Hebu nisaidie, ada kwa mwaka kwa mtoto ambaye anasoma shule ya msingi ni bei gani siku hizi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
private schools or government schools?
halafu ujue shule za st Kayumba za msingi hazinaga kitu kinachoitwa ada kuna vimichango vidogovidogo ambayo ni miradi ya ma headteacher mara utasikia hela ya mlinzi, hela ya mwenge sijui hela ya rambi rambi. lakini kule st. Emy weeeh ujipinde hasa.....Akijibu hapo tutapata njia nzuri ya kumpa jibu sasa,Je ni za ST.KAYUMBA ama ST.EMY?