Ada ya Shule ya Msingi?

PastorPetro

Senior Member
Joined
Feb 25, 2008
Posts
189
Reaction score
36
Habari zenu? Hebu nisaidie, ada kwa mwaka kwa mtoto ambaye anasoma shule ya msingi ni bei gani siku hizi?
 
Akijibu hapo tutapata njia nzuri ya kumpa jibu sasa,Je ni za ST.KAYUMBA ama ST.EMY?
halafu ujue shule za st Kayumba za msingi hazinaga kitu kinachoitwa ada kuna vimichango vidogovidogo ambayo ni miradi ya ma headteacher mara utasikia hela ya mlinzi, hela ya mwenge sijui hela ya rambi rambi. lakini kule st. Emy weeeh ujipinde hasa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…