Ada ya vyuo vya kati ni bei gani?

Ada ya vyuo vya kati ni bei gani?

Undeceteris

Member
Joined
May 15, 2021
Posts
47
Reaction score
29
Habarini ndugu,

Jamaa na marafiki, naombeni kuuliza ada za vyuo vya kati kwa stashahada ya ualimu wa sekondari ni kiasi gani? (vyuo vya serikali)
 
Laki sita tu(600,000/- )

-Chakula, mtapewa(Wali-maharagex3, ugali-nyamax1 kwa wiki, siku zinazobaki Ugali-maharage)
-Maji ya kuchemsha
-Field (BTT) mtapewa pesa na Serikali (ruzuku)
 
Laki sita tu(600,000/- )

-Chakula, mtapewa(Wali-maharagex3, ugali-nyamax1 kwa wiki, siku zinazobaki Ugali-maharage)
-Maji ya kuchemsha
-Field (BTT) mtapewa pesa na Serikali (ruzuku)
Kuna mahal nmekuta 450,000
 
Back
Top Bottom