720000 kwa mwaka kama utachukua 12units. means 60000@unit. kama ukichukua units chache utalipa kidogo ila utachelewa kumaliza chuo. degree nzima ina units 36 hivi