Uchaguzi 2020 Adadi Rajabu na Andrew Chenge, wasomi wabobezi waliokatwa na kuinamisha vichwa. Usomi ni ukondoo?

kuufyata tena Kuufyata kwa sauti ya Mzee Majuto
 
Soma hii:

Lumpenproletariat at Dictionary.com
Lumpenproletariat definition, the lowest level of the proletariat comprising unskilled workers, vagrants, and criminals and characterized by a lack ......

lumpenproletariat
/ (ˌlʌmpənˌprəʊlɪˈtɛərɪət) /
noun
(esp in Marxist theory) the amorphous urban social group below the proletariat, consisting of criminals, tramps, etc


Aina hii kwenye uongozi haijawahi kuwavusha yeyote yule
 
Kama wasomi hawa wamekatwa na kuufyata nani basi atakuja kuupinga uonevu huu?
Kazi zipo nyingi ccm,halafu sio lazima wawe wabunge,Ni chama kinajua kwa Nini kimewakata kwa vigezo walivyojiwekea
 
Acheni unafiki hivi leo kweli CHENGE Mzee wa vijisenti amekuwa nzuri kwa Upinzani¡¡¡
Fisadi papa aliyelalamikiwa na Upinzani leo amekuwa mwema
Unaonekana Opposition hakuna mnachokisimamia au kuamini. Nimemuona hata Zito akisema ati Bunge litamkosa mtu muhimu
Kweli kushabikia siasa bongo ni kaxi sana
 
Wasomi wengi wa taifa hili ni mafisadi hivyo lazima ajifiche CCM akiinua kichwa tu uhujumu uchumi unamhusu?
 
Hoja siyo kuiwakilisha. Hoja hapa ni nani amekatiza hamu na nia ya hawa wasomi kuwawakilisha wananchi? Kwann kilaza mwenye phD feki aamue hatma yao?
Sasa si muwachukue waisadie chadema ya form six alie feli?
 
Si ndio maana pale chadema Mbowe ndio kila kitu hushangai mkuu?

Yani mleta mada akisikia Mbowe anataka kutolewa anaweza kufa!

Ccm inawatu rundo wanahitaji kuongoza siyo hao kina chenge tu.

Alafu usomi wa chenge umesaidia nini taifa zaidi ya kutuingiza kwenye matatizo ya ufisadi ya kila dili chenge yumo?

Hawa watu wa chadema ya Lisu leo wanampenda Chenge? Hadi Zitto kabwe?

Upinzani gani wa kipumbavu namna hii?
 
Mkuu hiyo ndio chadema ya Lisu na Mbowe!

Slaa atakuwa akiwa soma watu aina ya mleta mada alafu nao wako chadema atakuwa anaumia sana
 
Sa nyingine ukiwa humu GT unaandika Kama mtu conscious ila Kuna muda unaandika utopolo kama unaoandika kule Facebook kwa mataga wenzio
 
Mfano upi huo wakuigwa kutoka kwa chenge? Au ni ule wa kuiba billions of money from NBC bank..nenda kalake huko..hujui kitu wewe..
 
Agneta ushawahi kusikia ni mwanasheria mkuu wa serikali ama mkuu wa upelelezi Tanzania nzima? Chenge na Adadi nawashangaa Sana. Wanamuogopa huyu mwenye PhD ya kupewa na akina Dr. Akwilapo?
Aise, kwahiyo unasema ilikuwa ni sahihi kwa huyo binti kukatwa na kulipitisha dume zima alilolishinda kwenye kura za maoni eti kisa siyo msomi. Huu ni unyanyasaji wa kijinsia, na kinyume na Demokrasia mnayoipigania, kiufupi nyinyi mkishika Dora mnaweza kuwa wa ovyo kuliko hata waliopo kwa sababu mna upumbavu Sana wa kuhalalisha vitu vya hovyo. Mlichofanya segerea hakina tofauti hicho ulichoandika!
 
Hivi wagombea wa CCM wanawahusu nini? Si ndo vizuri walivyokatwa ili mtumie mwanya huo mkashinde kwenye majimbo yao.
Unapopigania haki, huangalii ya kwako tu, bali na za wengine pia, manake kesho wewe utakuwa hapo alipo!!
 
Kukaa kimya pia ni hekima. Ni watu wasio na elimu ndio huamsha vita wasioweza kuishinda.
 
Huyo chenge nikipi alichofanya toka 2005?Ndoto gani alizokatizwa juu ya hili taifa?
Vitu vingine ni vya kutafakari kabla ya kuleta ushabiki.kuna mambo mengine hayataki uchama bana.
 
Chenge ,atulie tu ,madharau yake tuone Sasa,na ajue uongozi ni mapito tena akae mbali kabisa
 
Chenge ,atulie tu ,madharau yake tuone Sasa,na ajue uongozi ni mapito tena akae mbali kabisa
Lkn Magufuli kamuonea. Ilitakiwa akataliwe na wananchi siyo mwenyekiti Magufuli.
 
Waliokatwa waliambiwa lazima kuwaigia kampeni walioteuliwa, je Chenge na Adadi nao wanawapigia kampeni mahasimu wao?!

Nasikia waliambiwa watulie mavyeo ni mengi tu.

Adadi alikuwa balozi sijui atapewa nini ukuu wa mkoa, wilaya au ukurugenzi wa halmashauri?!

Change apewe nini ubalozi au ukuu wa mkoa?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…