Naomba iweke hiyo report hapa tuipitieMekoo alimpania adad baada ya tund kumiminiwa mvua za moto area d kamati ya usalama ya bung ikiongozwa na bwana huyu iliandikwa ripoti ya kichunguz yenye weledi na recommendations za kisomi zenye uhalisia wa tukio iliyowaacha wazi wausika , wenyewe hawakufurahi tokea hapo ndo visasiiiiii same to dr. mpoc pigwa chini kistaili
Nyakati zinabadilika pia mkuuCCM ilikuwa zamani , sasa hivi chama kinaongozwa na matashi ya mtu mmoja tu mhutu unafikiri Kuna chama Tena Kuna Bashiru Kabudi Chakubanga Polepole wanapelekeshwa mwendo wa kihutu kushoto geuka , kulia geuka , nyuma geuka hakuna kuhoji .View attachment 1600077
Hawamuwezi Chenge ni siki la mpapurewangeliweza kujiunga na vyama vingine, wangelishinda kwa kura nyingi, lakini sasa wana makandokanda mengi. Jiwe atawafuata, mfano Chenge atafuatwa na rada etc....
Choices zilikuwa hizi
1. Kuinamisha vichwa
2. Kuhamia Upinzani
Hawakuwa na choice nyingine. Wameamua kuchagua #1. Probably ni uamuzi sahihi sana maana wote mafaili yao ni machafu mno na chairman wa CCM ni mwepesi kuritaliate!
Tena wanamafaili yake yote masafi na machafu.Agneta ushawahi kusikia ni mwanasheria mkuu wa serikali ama mkuu wa upelelezi Tanzania nzima? Chenge na Adadi nawashangaa Sana. Wanamuogopa huyu mwenye PhD ya kupewa na akina Dr. Akwilapo?