Adam Juma kwenye ubora wake;For you-Mario

Nimetizama hii video ya Mario iliyofanywa na Adam Juma,jamaa kazi anaijua yaani pamoja na kupumzika bado anawapiga gap kubwa hawa vijana wa siku hizi.
Inaumiza macho weupe umezidi angepunguza kiasi rangi
 
Wakati huo yule fundi umeme kule usafini anaweka ma tube light kwenye video zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…