Leo Namzungumzia sio mwingine bali Ni Super producer Adam Juma.
Jamani tuwe- na desturi- ya kusifia- vizuri tena vya Nyumbani- na sio umbea- tu na mabaya ndo myashadadie, haya- leo ni siku ya Adam Juma jamaa ka prove kwamba kokote- ulipo- unaweza- uka- make it in life wamem'bania Tanzania.
Majungu- kibao...jamaa- ka enda south anafanya- kazi zake vizuri- sana..Hii video ya Richie Mavoko- is one recent example.
Next lever my ninja,Keep hustling and don't mind the haters.
Keep chasing your dream ninja.