Adam kakutana na akina Eva!

Adam kakutana na akina Eva!

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691


Sijui jamaa alikosea wapi!! But ahsante kwa huyo mwenye nyeusi kwa kufanya wepesi baharia akachoropoka kwenye kisago cha akina dada katili..😂

Dada zetu na nyie kuweni na huruma..😜
 
Huyo ndo alikuwa nunda wao ila mi nimekapenda hako kalikovalia nyeusi zote kanapiga kiuoga na kamewezesha jamaa ale Kona..😂
Nahisi kalikuwa kwenye mission za kumuokoa jamaa. Kamempa ya pua akasogea kidogo jamaa akapata vacum ya kutoroka.
 
yaani kamtu kalikokuwa kanataka kuua kabisa jamaa, ndio mnasema kamesaidia???
Hujui kuangalia movement ndugu walikuwa wamemzunguka angalia kalivyomvuta mpk jamaa akapata uwazi..
 
Dah kuna huyo kamzaba kofi la kidume yaani bana hapo balaa.... Jamaa kosa lake nini au kawatia wote mimba na kuwageuzia kibao....
 
Back
Top Bottom