Adam Malima na 'mipete mikubwa' mikononi

Adam Malima na 'mipete mikubwa' mikononi

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,420
wakuu naombeni kuelewa kitu kimoja,huyu Adam Malima nimemwona bungeni akijibu maswali
lakini alinishtua kwa kitendo chake cha kuvaa mipete mikubwa mikono yote miwili,
wakuu wa saikology mnaonaje hapo,je?mtu kama huyu anaweza kutufikisha tunakokwenda?
au ana maana gani kufanya vile?

Mipete ya majini hayo. Usishangae.

wewe unataka Adam Malima akufikishe wapi unapokwenda? Hayo ni mapambo tu kama mapambo mengine. Hivi kweli JF imeishiwa mada kiasi hiki? Beats me!

Pasonoishu!!!!!!!!!!!! Sipendi kuona watu wanajadiri mambo binafsi ya watu kwa mfano.
1. Adamu malima kavaa pete
2. Dr slaa na ndoa yake
3. Kikwete anaoa kisiri siri
4. Ezan anatembea na FaizaFox so what?

Jamani vitu kama hivi siyo vya kuvijadiri humu

Mwita let me tell you, adam malima is a deputy minister, in other way around is a public fig a role model, we need to learn a lot from him!very unfortunaltely he is not aware about his doing!umemwona nani yupo hivi kati ya viongozi unaowajua and factor in our culture! au anaimba taaarabu????? sijui jk anawatoaga wapi watu kama hao na usalama wa taifa wanaplay role gani hali wanatuletea viongozi wabovu kama hawa akini ernest malima! think big Mwita!!

Hii inchi itakombolewa na watu wenye fikara pevu!

Pete! inaweza kuwa urembo wa kawaida au la ndio zile za mifupa ya Albino hata Bosi wake alikuwa anavaa naona siku hizi hana

Pasonoishu!!!!!!!!!!!! Sipendi kuona watu wanajadiri mambo binafsi ya watu kwa mfano.
1. Adamu malima kavaa pete
2. Dr slaa na ndoa yake
3. Kikwete anaoa kisiri siri
4. Ezan anatembea na FaizaFox so what?

Jamani vitu kama hivi siyo vya kuvijadiri humu

Wewe unataka watu wasijadili mambo ambayo haya kufurahishi?

Una bahati sana kama itakuwa hivyo, maana si amini kama kila kinacho jadiliwa humu kina furahisha kila mtu, hasa CCM na Mhe. Rais.

Pasonoishu!!!!!!!!!!!! Sipendi kuona watu wanajadiri mambo binafsi ya watu kwa mfano.
1. Adamu malima kavaa pete
2. Dr slaa na ndoa yake
3. Kikwete anaoa kisiri siri
4. Ezan anatembea na FaizaFox so what?

Jamani vitu kama hivi siyo vya kuvijadiri humu

Simple mind discusses people, ordinary mind discusses events, but great mind discusses idea.
Bravo!

Mtu wa pwani yule bwana, mambo ya majini, mazndko, kujknga ni muhmu na ni utamaduni wao kwa kfup zile pete ni za kishrikna.

Kazi ipo,pete zenyewe ukizichunguza ni za vito kwahyo zina mbeba!huoni bajeti imekwama wao wapo?kashfa ya jairo wao wapo?jimboni hakuna aliyetaka kuamin angekuwa tena mbunge ila kashnda sshv wananchi wanajiuliza ilikuaje

We umeona amevaa pete mbili, huyu jamaa alinishangaza siku nilimwona amevaa saa mbili akiwa kwenye shughuli zake za unaibu waziri. Nalistaajabu sana kumwana kiongozi wetu amevaa saa mbili tena kubwa kabisa. Hata kama ni majini basi naomba aangalie jinsi ya kuyaweka ili tusiyaone...this is too much. mapete mengine yana rangi za ajabu mtu unavaa ya nini bwana..! tena waziri kijana kama Mh Malima.

Mipete ya majini hayo. Usishangae.

HAHAHAAAAA SI YA UREMBO KWELI? MAKE KINAMAMA VIKUKU KINANAPE CHENI NA MIPETE! KAZI NDO HIYO TUU WANANJI WANAENDELEA KUSOTA,NGOJA IPO SKU YAO

Pasonoishu!!!!!!!!!!!! Sipendi kuona watu wanajadiri mambo binafsi ya watu kwa mfano.

1. Adamu malima kavaa pete

2. Dr slaa na ndoa yake

3. Kikwete anaoa kisiri siri

4. Ezan anatembea na FaizaFox so what?

Jamani vitu kama hivi siyo vya kuvijadiri humu

1.KIKWETE KAOA KISIRISIRI ASA WE UMEJUAJE!
2.KUMBE AZAN NDO SHEM?!HONGERA WIFI

Pasonoishu!!!!!!!!!!!! Sipendi kuona watu wanajadiri mambo binafsi ya watu kwa mfano.
1. Adamu malima kavaa pete
2. Dr slaa na ndoa yake
3. Kikwete anaoa kisiri siri
4. Ezan anatembea na FaizaFox so what?

Jamani vitu kama hivi siyo vya kuvijadiri humu
Wengine tuta tafsiri umeshindwa kazi kwa sababu muda wa uwepo wake hapa jamvini unazidi kuongezeka au unaitaji china brush...lol

hivi kuna uhusiano gani kuvaa pete na utendaji wa kazi wa mtu?
kenya wana jaji mkuu anavaa hereni,
je inamzuia kufanya kazi zake?
kama haimzuii kufanya kazi zake,hayo ni mambo binafsi sana

wewe unataka Adam Malima akufikishe wapi unapokwenda? Hayo ni mapambo tu kama mapambo mengine. Hivi kweli JF imeishiwa mada kiasi hiki? Beats me!

Kawaida ukiuliza swali you don't answer yourself!a

naunga mkono hoja ya wana JF lets discuss ideas and not people

Back
Top Bottom