Napita,ila baadae nitakuletea jibu.wakuu naombeni kuelewa kitu kimoja,huyu Adam Malima nimemwona bungeni akijibu maswali
lakini alinishtua kwa kitendo chake cha kuvaa mipete mikubwa mikono yote miwili,
wakuu wa saikology mnaonaje hapo,je?mtu kama huyu anaweza kutufikisha tunakokwenda?
au ana maana gani kufanya vile?
naunga mkono hoja ya wana JF lets discuss ideas and not people
wakuu naombeni kuelewa kitu kimoja,huyu Adam Malima nimemwona bungeni akijibu maswali
lakini alinishtua kwa kitendo chake cha kuvaa mipete mikubwa mikono yote miwili,
wakuu wa saikology mnaonaje hapo,je?mtu kama huyu anaweza kutufikisha tunakokwenda?
au ana maana gani kufanya vile?
hivi kuna uhusiano gani kuvaa pete na utendaji wa kazi wa mtu?
kenya wana jaji mkuu anavaa hereni,
je inamzuia kufanya kazi zake?
kama haimzuii kufanya kazi zake,hayo ni mambo binafsi sana
wewe unataka Adam Malima akufikishe wapi unapokwenda? Hayo ni mapambo tu kama mapambo mengine. Hivi kweli JF imeishiwa mada kiasi hiki? Beats me!
Pasonoishu!!!!!!!!!!!! Sipendi kuona watu wanajadiri mambo binafsi ya watu kwa mfano.
1. Adamu malima kavaa pete
2. Dr slaa na ndoa yake
3. Kikwete anaoa kisiri siri
4. Ezan anatembea na FaizaFox so what?
Jamani vitu kama hivi siyo vya kuvijadiri humu

hivi kuna uhusiano gani kuvaa pete na utendaji wa kazi wa mtu?

kenya wana jaji mkuu anavaa hereni,

je inamzuia kufanya kazi zake?

kama haimzuii kufanya kazi zake,hayo ni mambo binafsi sana

Tunadiscus ideas and peoples kwakuwa ideas zinatoka kwao.hizo pete ni mambo ya kichawi.malima ni waziri kijana na inawezekana ni msomi.sasa msomi na ushirikina wapi na wapi

wakuu naombeni kuelewa kitu kimoja,huyu Adam Malima nimemwona bungeni akijibu maswali

lakini alinishtua kwa kitendo chake cha kuvaa mipete mikubwa mikono yote miwili,

wakuu wa saikology mnaonaje hapo,je?mtu kama huyu anaweza kutufikisha tunakokwenda?

au ana maana gani kufanya vile?

wanasiasa wa kibongo wamejaa ushirikina. Huo ni ulinzi wake.